Friday, 30 October 2015

MAMBO 13 YA KUFANYA ILI UWEZE KUACHA TABIA YA KUPIGA PUNYETO

Huu ni mwendelezo wa makala zangu zenye lengo la kuwasaidia vijana wanaojihusisha au waliowahi kujihusisha na kitendo cha KUJICHUA au wengi huita PUNYETO.

Leo nakuletea mambo 13 ya muhimu kuyafanya unapoamua kuacha kujichua.

1=> ACHA KUANGALIA FILAMU AU VIDEO ZA NGONO. Hii imekuwa ni chanzo kikubwa cha vijana wengi kujikuta wakijizoeza kujichua kutokana na kuangalia sana video za ngono. Pia simu zilizopo sasa zimekuwa na uwezo mkubwa wa kutunza na kuonyesha video hizo. Hivyo kama unahitaji kuacha mchezo huu wa kujichua basi hakikisha unafuta kabisa hizo video ndani ya simu yako na ujitahidi kutozitafuta tena.

2=> Kama wewe ni mwanafunzi hakikisha unakuwa bize na masomo yako na uiondoe kabisa akili yako katika kuwaza ngono.

3=> Kila siku hakikisha unafanya mazoezi ya kuuchosha mwili. Kufanya hivi kutaufanya mwili uwe active tu na kuondoa mawazo ya kujichua.

4=> Epuka kukaa pekee yako, jichanganye na watu ili uwe katika mtazamo wa maongezi tu na hautawaza hicho kitendo tena.

5=> Acha tabia ya kulakula bila mpangilio hasa vyakula vyenye mafuta mengi.

6=> Muda wako wa free jitahidi kuutumia kukaa na familia au marafiki au pengine unaweza utumia kwa kufanya kazi zako ulizoshindwa kuzikamilisha siku za nyuma.

7=> Epuka kukaa bafuni kwa muda mrefu. Vijana wengi wamekuwa wakifanya kitendo hiki wakiwa bafuni wanapoenda kuoga. Hivyo Epuka kukaa bafuni muda mrefu.

8=> Epuka kabisa kusema eti "PUNYETO HII NI YA MWISHO" kisha ntaacha. Hii ni dhana potofu kabisa. Cha msingi ni kuacha na kufuata utaratibu kama somo hilo linavyoeleza.

9=> Jitahidi sana uepuke tabia au staili ya maisha iliyokuwa ikikufanya ujichue.

10=> Epuka kuwaangalia sana wadada wanaovaa nusu uchi, picha za uchi au kuingia kwenye mitandao ya ngono pamoja na kusoma hadithi zilizo na mapenzi ndani yake.

11. Ichukie tabia ya kujichua na uione kama ni dhambi kubwa na Mwenyezi Mungu hapendi.

12. Kuwa na mpenzi au mke mwaminifu na uhakikishe hisia zako zote umezielekezea kwake, pia hakikisha mnakuwa na ratiba nzuri ya kukutana endapo mnaishi mbali kila mtu.

13. MATIBABU. Tabia hii pamoja na kufanya hayo mambo 12 lakini unahitajika ukamilishe kwa kufanya Matibabu. Wakati ukifanya tabia hiyo kwa kawaida Misuli ya uume hudhoofika, nguvu za kiume hupungua au kuisha kabisa, uume huwa mdogo au hujivuta kurudi ndani na wengine hufikia hadi hatua ya kumaliza haraka sana wanapokutana na mwanamke, wapo pia ambao hujikuta wakitokwa shahawa bila kujijua!!!!

Hivyo basi, tiba pekee ni dawa za aina mbili:
1. Butea Superber - hivi ni vidonge vilivyotengenezwa kutokana na mimea hiyo ya Butea Superber. Huongeza uzalishwaji wa mbegu na kuimarisha misuli ya uume na hivyo kuwafanya wanandoa au wapenzi kufurahia mapenzi yao.
Dawa hii ina vidonge vinne tu na vinatumika kidonge kimoja tu kwa siku.

2. Uyoga wa Cordyceps au Biloba na Gonaderma - Hii ni mimea na uyoga yenye uwezo mkubwa sana wa kurejesha madini yaliyopotea mwilini pamoja kuongeza uwezo wa mwili kujikinga na maradhi, kuondoa uchovu usio na sababu na pia huondoa mafuta mabaya mwilini.
Zina vidonge 60 hadi 96 na zinatumika kwa kumeza vidonge viwili kwa siku.

Dawa hizi pamoja na kuwa ni mimea lakini zimetengenezwa katika mfumo wa vidonge hivyo ni rahisi sana kwa mtumiaji na havina kemikali yoyote ili kufanya zisiwe na madhara kwa mtumiaji.
Matibabu haya yote hufanyika ndani ya mwezi mmoja tu na gharama ya dawa zote mbili ni ya kawaida tu kulingana na ubora wa dawa ambazo hutengenezwa nchini Thailand.

Pamoja na kukupatia dawa lakini pia tutakupatia ushauri kuhusu chakula bora ambacho ni muhimu ili kuimarisha utendaji kazi hasa katika tendo la ndoa.

Dawa hizi unaweza kuzipata Mwanza, Shinyanga, Morogoro, Mbeya, Tanga na Dar.
Watu wa mikoa mingine huwa tunatuma dawa kupitia Ofisi za Mabasi.

MAWASILIANO:
0767925000
0622925000(Whatsapp)
Masha Masanja (Health Consultant).
posted from Bloggeroid

Wednesday, 28 October 2015

MPYA: ANGALIA MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO/MASTURBATION NA TIBA YAKE



1. Uume kuwa dhaifu na kushindwa kusimama imara hasa unapokutana na mwanamke.
2. Misuli ya uume kusinyaa na kumaliza mapema wakati wa tendo la ndoa, pia mbegu au shahawa kuwa kidogo sana.
3. Kuwa hanithi na kushindwa kutungisha mimba.
4. Uume kujikunja na kurudi kwa ndani.
5. Msongo wa mawazo na kusahausahau.
6. Maumivu ya kiuno na mgongo
7. Magonjwa ya Presha, Moyo na kuharibika kwa Uti wa Mgongo.

HAYO YOTE TIBA YAKE TUNAIFANYA KWA MWEZI MMOJA HADI MIWILI.
Dawa zetu zimetengenezwa kwa mimea na ziko katika mfumo wa vidonge na hazina madhara kiafya. Dawa zinarudisha madini yaliyopotea mwilini, zinaongeza uzalishwaji wa mbegu za kiume na zinaimarisha misuli ya uume na kuufanya uume kuwa imara na kufurahia tendo la ndoa.
Pia tutakushauri kuhusu chakula(Lishe) ili uwe na Afya njema.

Tupo Shinyanga na Mwanza, pia mikoa mingine tunao wawakilishi.

Mawasiliano:
0767925000
0622925000{whatsapp}
posted from Bloggeroid

Monday, 26 October 2015

UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI KWA KIFUPI

KISUKARI ni moja ya magonjwa yanayoathiri watu wengi siku hizi nchini mwetu na hata nje.
Kati ya hao, wengi huishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu na kuja kugundua kwamba wana kisukari baada ya muda wa kama miaka mitano hivi, baada ya mwili kuanza kuonesha dalili kuu za kisukari.

Ndani ya kipindi hicho cha miaka mitano, tayari mwili unakuwa umepoteza baadhi ya uwezo wake katika macho, figo, fizi na neva za fahamu.

Kisukari hakina dawa ya kutibu kabisa, bali vipo vichocheo (hormone) na dawa zinazosaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.


-Kiu Ya Maji Isiyoisha
Njaa Kali.

-Haja Ndogo Mara Kwa Mara.

-Vidonda Au Michubuko Kuchukua Muda Mrefu Kupona.

-Nyingine Ni Ngozi Kuwa Kavu Na Kuwasha.

-Mgonjwa Kupoteza Uzito Bila Sababu.

-Kuwa Na Ukungu Machoni,
Kuchoka Kusiko Kwa Kawaida.

-Hisia Kupungua Katika Vidole Na Viganja.

-Mikononi Na Miguuni Na Kuwa Na
Ukungu Katika Fizi.

-Ngozi Na Kibofu Cha Mkojo.
Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Uume KutokuSimama.

-Mwanamke Kujifungua Mtoto Mwenye Uzito Wa Zaidi Ya Kilo Nne Na Aliyekuwa Na Kisukari Cha Ujauzito Anaangukia Pia Kwenye Kundi Hilo, Sawa Na Wale Wanaokuwa Wamepata Ajali Na Kuumia Sehemu Za Tumboni Au Kula Chakula Chenye Sumu Ambacho Kinaweza Kuumiza Kongosho.


MADHARA YA KISUKARI

=>Magonjwa Ya Moyo,
Kiharusi.

=>Matatizo Na Kuharibika Kwa Kibofu Cha Mkojo.

=>Shinikizo La Juu La Damu
Upofu.

=>Kufa Neva Za Fahamu,
Uharibifu Katika Fizi Na Ugonjwa Wa Fangasi.

=>Mwanaume Kupoteza Kabisa Nguvu Za Kiume.

=>Mtu Anapokuwa Na Kisukari, Mzunguko Wa Damu Miguuni Hupungua Na Hii Ndiyo Sababu Kubwa Ya Kufa Kwa Neva Za Fahamu Na Hivyo Mtu Kukosa Hisia Katika Eneo Hilo La Mwili.

=>Kinga Ya Mwili Kushuka Kwa Kiasi Kikubwa Hivyo Kufanya Mgonjwa Kuugua Ugua Magonjwa Mengine Kila Mara.

MATIBABU

Kwa Kawaida Kwa Tiba Ya Hospitali Matibabu Ya Kisukari Hayana Mwisho Hivyo Mgonjwa Huwa Mtumiaji Wa Dawa Katika Maisha Yake Yote.

Tunayo Tiba Ya Moja Kwa Moja Ya Ugonjwa Huu Kwa Kutumia Vidonge Vilivyotengenezwa Kwa Uyoga Mwekundu Unaopatikana Nchini Pekee.
Uyoga Huu Una Uwezo Mkubwa Wa Kusawazisha Kiwango Cha Sukari Mwilini Pamoja Na Kuongeza Kinga Ya Mwili Kwa Kiwango Kikubwa Sana Hivyo Kuondoa Kabisa Hali Ya Kuugua Ugua Magonjwa Mbalimbali Kila Mara.
Tiba Hii Inashauriwa Kutumika Kwa Muda Japo Miezi Mitatu(3).

Tunapatikana Mwanza na Shinyanga, Pia Mikoa Mingine Tunao Wawakilishi Wetu.

MAWASILIANO
0767925000
0622925000(WHATSAPP)
posted from Bloggeroid

Saturday, 24 October 2015

FAHAMU NJIA SALAMA YA KUTIBU MAUMIVU YA TUMBO WAKATI WA HEDHI ( DISMENORRHEA)




Haya ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake au kabla ya hapo.

Maumivu hayo huweza kuwa madogo au ya wastani lakin baadhi ya Wanawake hupata maumivu makali zaidi . Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi huanza pale mayai yanapotoka ktk mirija na kutelemka chini ya mirija hiyo wakati wakati wa Ovulation au kipindi cha uwezekano wa kupata mimba.

Maumivu haya yapo ya aina mbili:

1. Primary Dismenorrhea.
Haya ni maumivu yasiyokuwa na sababu zozote za msingi kitiba. Ktk aina hii maumivu ni ya kawaida na huhisiwa sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni na huanza siku 1 au 2 kabla ya hedhi na humalizika baada ya siku 2 au 4.

2. Secondary Dismenorrhea
Haya ni maumivu makali zaidi na yanakuwa na sababu maalum za kitiba km vile matatizo ktk kizazi, Ugonjwa wa Nyonga (P.I.D) na matatizo ktk mirija ya uzazi.

Karibu nusu ya Wasichana wote hupata maumivu wakati wa hedhi, huku 15% kati yao wanasema kuwa hupata maumivu makali sn.
Uchunguzi unaonyesha kuwa kuna sababu mbalimbali zinazoweza kuongeza uwezekano wa kuumwa tumbo wakati wa hedhi:
🚫 kuwa na umri chini ya miaka 20
🚫 kuvunja ungo wakati wa miaka 11 au chini ya hapo
🚫 kutoka damu nyingi wakati wa hedhi (suala hili linaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali ya kitiba)
🚫 Wanawake ambao hawajawahi kuzaa
🚫 Endometriosis - hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa kizazi huanza kuota nje ya fuko hilo au huota sehemu nyinginezo
🚫 Adenomyosis - huu ni ugonjwa wa wanawake ambapo tezi au uvimbe ( tumors) zinaota ktk mfuko wa uzazi
🚫 Magonjwa ya zinaa yanayotokana na bakteria au magonjwa ya zinaa ya kuambukiza
🚫 Mlango wa uzazi unapokuwa mdogo kiasi kwamba inazuia damu ya hedhi isitoke kwa urahisi.

SASA HEBU TUONE, TUMBO LA HEDHI HUUMAJE ( DALILI)

⚠ Maumivu mara nyingi si makali
⚠ Maumivu yanaweza kuja na kuondoka
⚠ Maumivu zaidi huhisiwa sehemu ya chini ya tumbo
⚠ Maumivu yanaweza kuchanganyikana na maumivu ya chini ya mgongo ambayo husambaa hadi mapajani
⚠ Kujihisi kutapika/kichefuchefu na wakati mwingine hata kutokwa jasho
⚠ Kupata choo kilaini au kuharisha
⚠ Kufunga choo
⚠ Tumbo kuwa kubwa au kuwa gumu
⚠ Kuhisi maumivu ya kichwa
⚠ Kutojihisi vizur au uchovu

Inapaswa kujua kuwa, kiwango cha maumivu hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke au kutegemeana na dalili. Wanawake wengi huzitambua dalili hizo bila ht msaada wa Daktari.
Wanawake nawashauri mara mnapopata maumivu makali zaidi ni vyema mkamuone Daktari au Mshauri wa Afya ili ikiwezekana kufanya vipimo km vile Ultrasound, MRI na vinginevyo ili kufahamu iwapo kuna matatizo mengine ya kitiba yanayosababisha maumivu kuwa makali.

MATIBABU
Matibabu ya Maumivu ya tumbo la hedhi huweza kutibiwa kirahisi kwa kutumia Vidonge vya maumivu km Ibuprofen, Naproxen au aina nyinginezo za vidonge visivyokuwa na STEROIDS (NSAIDS). Pia kuna wakati Madaktari wanaweza kumshauri mgonjwa kutumia vidonge vya kuzuia mimba. Vidonge hivyo huzuia mzunguko wa yai au Ovulation na kupunguza ukali wa maumivu ya tumbo la hedhi.
Lakini pia ifahamike kuwa vidonge vyote hivyo havitibu tatizo hili moja kwa moja bali utatakiwa kuvitumia kila mwezi unapoingia hedhi.


Zipo tiba za moja kwa moja kwa kutumia vidonge vilivyotengenezwa kwa mimea na havina madhara mwilini km vidonge vya maumivu nilivyovitaja huko. Vidonge hivi vya mimea vinapatikana sehemu mbalimbali za Tanzania na tiba yake hufanyika kwa miezi miwili - mitatu na baada ya hapo mwanamke/msichana hautasikia tena maumivu ya hedhi maishani mwako.

Mawasiliano:
0767925000
0784925000
0622925000 (whatsapp)

posted from Bloggeroid

Monday, 19 October 2015

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA

WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!

~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.


~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles

~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50

AINA ZA BAWASIRI

~Kuna Aina mbili za bawasiri

(A) BAWASIRI YA NDANI

~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili

~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa

~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika

(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.

(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.

(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

(B)BAWASIRI YA NNJE

~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO

~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷

��KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

��KUHARISHA KWA MUDA MREFU

��TATIZO LA KUTOPATA CHOO

��MATATIZO YA UMRI

��KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU

��UZITO KUPITA KIASI

��MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI

��Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa

��kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

��kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa

��kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo

��kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI

~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo

~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia

��KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA

��KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku

��EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI

��kupata upungufu wa damu (anemia)

��Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo

��hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake

��kuathirika kisaikolojia

��kukosa moral ya kufanya Kazi na maumivu makali
posted from Bloggeroid

JINSI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME NA KUONGEZA FURAHA YA NDOA

Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO.

SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 4 TU UTAFURAHIE RADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA.

1. SYNGNATHUS
Hawa ni samaki wajukikanao kama pipe fish kutokana na umbo lao refu hupatikana baharini na upatikanaji wake ni mgumu sana kwani huogelea ndani kwa ndani hivyo kufanya bidhaa hii iqw adimu sana.
Samaki hawa tafiti zinaonesha kuwa zinasafisha figo na kuimarisha kazi ya figo na kukupa uimara wa tendo la ndoa ambao ulikuwa umedhoofika kwa kudhoofika kwa figo.

Hivyo samaki hawa huvuliwa ,husafishwa,hukaushwa na kutengenezwa katika unga kisha huchanganywa na mimea mingine kutengeneza vidonge vya asili kabisa.

2. EPIMEDIUM

Hii ni mimea ambayo ina maajabu yake na imekuwa kama lulu nchini china na maajabu yake ni pale hata mifugo inapotumia mimea hio katika malisho imeonesha kuwa na shauku kubwa ya kufanya tendo la ndoa zizini.
Sasa mimea hii baada ya kuwekwa kwenye TAFITI MAAJABU YAKE YAMEFICHUKA KUWA NA FAIDA KUBWA SANA KATIKA MWILI WA BINADAMU KATIKA MAGONJWA HAYA.

~Inaongeza SHAUKU YA TENDO LA NDOA (LIBIDO)
~INAONGEZA MBEGU ZA KIUME (SPERMS) NA VICHOCHEO VYA KIUME YANI TESTOSTERONE
~INAONGEZA SHAUKU YA TENDO LA NDOA AMBALO UTAFURAHIA TENDO LA NDOA MUDA WOWOTE NA SEHEMU YOYOTE BILA HOFU KABISA.
~INAONGEZA UWEZO WAKO WA KUWEZA KURUDIA TENDO LA NDOA MARA NYINGI UWEZAVYO

MORINDA OFFICINALIS

Hii pia ni mimea asili ambayo imekuwa ni kipaumbele katika tafiti mbalimbali za mimea asili kwenye kutibu nguvu za kiume.
Mimea hii imeonyesha uimara wake kwenye kufanya jazi hizi

~Kutibu kabisa tatizo la kutopata mtoto
~kutibu kabisa matatizo ya uhanisi
~Kutoa mbegu za kiume nyingi kiwango cha kutosha kutungisha mimba.
~Kufika kilele HARAKA kabla ya mwenzi wako na kushindwa kuendelea (pre mature ejaculation)

4. BUTEA SUPERBA

Hii pia ni mimea asili ambayo hupatikana sana katika nchi za thailand na china pia india.
Mimea hii imeonyesha tafiti kuwa ina uwezo wa kuzuia PDE5 na kuongeza kiwango cha damu kinacho kimbia sehemu za siri na kukupa nguvu za kutosha kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Kumbuka bidhaa hii inafanya yote haya bila kuathiri mfumo wa fahamu kama bidhaa zingine za kemikali zinavyoathiri wakati zinafanya kazi.

HIVYO MPENDWA MIMEA YOTE HIYO IMEHIFADHIWA KATIKA KIDONGE KIMOJA TU KATIKA TEKNOLOJIA YA KISASA.

DOSAGE: DOZI NI VIDONGE VINNE(4) TU.

MATUMIZI: UNAMEZA KIDONGE KIMOJA KILA SIKU (500mg) MASAA MATATU BAADA YA CHAKULA CHA USIKU.

MWANZA & SHINYANGA 0622925000 WHATSAPP

POPOTE ULIPO UTAPATIWA BIDHAA HII RAFIKI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZO

KARIBUNI SANA TUNAPATIKANA MWANZA - LIBERTY NA SHINYANGA.
posted from Bloggeroid