Imeandaliwa: Masha Products
WhatsApp: 0622925000
Afya ya mifupa ni muhimu kwa kila mmoja, kirutubisho kinachohusika katika hili ni Calcium. Hii hupatikana kwa wingi katika baadhi ya vyakula ambavyo hupatikana kwa wingi katika mazingira tunayoishi.
Calcium supplements huhitajika kiasi cha 1000mg kwa mtu mzima kwa siku, japo kwa wanawake au watu wenye zaidi ya miaka 55 kinaweza kuhitajika kiasi cha 1200mg kwa siku(recommended daily intake yaani RDI for Calcium)
Umuhimu wa kirutubisho hiki huwezi kuujua faida zake kama hujaanza kupata matatizo ya miguu kuuma, kiuno na mgongo. Wenye matatizo hayo wanajua tabu zake
Kwa kifupi tuvitaje vyakula hivyo pamoja na kiasi vinavyotupatia mwilini
MBEGU ZA CHIA NA YOGURT
Hivi hutupatia zaidi ya 25% ya Calcium kwa siku pindi tukitumia. Tumia kwa wingi mbegu za Chia pamoja na yogurt
MAHARAGE
Maharage hupaswi kuyapuuza, yanatupatia 24% ya virutubisho vya Calcium
ALMONDS & NUTS
Hivi ni vyakula jamii ya karanga ambazo ni karanga zenyewe, korosho, almonds na vingine. Hivi hutupatia zaidi ya 8% ya Calcium tukila kwa siku. Vina manganese na vitamini E ambavyo pia ni msaada kwa kushusha kiwango cha Presha mwilini
MAZIWA
Ukifanikiwa kunywa maziwa hasa ya asili tambua utakuwa umeingiza kati ya 27% hadi 35% ya mahitaji ya Calcium kwa siku. Kuna watu wanadai hawapendi maziwa, watambue kuwa wanakosa kitu muhimu
MBOGA ZOTE ZA MAJANI
Mbogamboga hutupatia 27% ya kiwango cha Calcium pindi tukitumia kwa siku. Spinach ni mboga yenye kiwango kizuri mno cha Calcium.
Hivyo ni baadhi tu ya vyakula vyenye kiwango kizuri cha Calcium, tujitahidi kuvitumia ili kuepuka matatizo ya viungo au mifupa.
Mfano ukinywa maziwa baadae ukala mboga za majani na maharage utakuwa na zaidi ya 80% ya Calcium kwa siku hiyo tu!
Tumia hivyo vyakula kwa wingi muda wote, usisubiri uanze kupata matatizo ndipo utafute hivyo vyakula
Kwa wanaume wote wenye changamoto ya heshima ya ndoa yaani wanawahi kufika kileleni mapema, wanashindwa kuendelea na tendo baada ya kumaliza mara moja tu, mbegu zao za uzazi ni dhaifu haziwezi kutungisha mimba na mengine yanayohusiana na uzazi wanatakiwa kutumia unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge vyote kwa pamoja na watakuwa vizuri.
Kutoka Masha Products vyote viwili ni Tsh 45,000, ni halisi yaani vimeandaliwa katika ubora mzuri na tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na kwa kipindi hiki tunatuma kutokea Mwanza.
Mawasiliano 0622925000
Friday, 20 November 2020
VYAKULA VYA KUIMARISHA MIFUPA
Subscribe to:
Posts (Atom)