Sunday, 6 December 2020

NAMNA YA KUANDAA DAWA YA U.T.I

Masha Products
WhatsApp: 0622925000

Endapo umekuwa mhanga wa kusumbuliwa na maambukizi katika katika njia ya mkojo(urinary tract infections) basi tumia njia hii rahisi tunayokuelekeza leo

Tatizo hili limekuwa likiwasumbua wengi hasa wanawake kutokana na kila wanapotibiwa tatizo hujirudia mara nyingi ndani ya miezi mitatu.
Shida kubwa inayosababisha ni kupungua kwa kinga ya mwili kunakosababishwa na matumizi ya dawa za Hospitali zinazotibu matatizo hayo

Hebu tuangalie jinsi ya kujitibu kwa njia ya asili.
Vitu vinavyohusika ni tangawizi, vitunguu swaumu na asali mbichi.

JINSI YA KUANDAA
⏩ Tangawizi mbichi vipande vikubwa vitano, menya kisha ukate vipande vidogo vidogo sana
⏩ Vitunguu swaumu punje 30,  zimenye ubakize zile punje za ndani
⏩ Asali mbichi robo lita.

Saga vitunguu swaumu na tangawizi kwenye blenda kisha changanya na asali yako kwa kutumia hiyo hiyo blenda.

Hii ni dawa nzuri mno, utakuwa unakunywa vijiko viwili asubuhi, mchana na usiku.
Huu mchanganyiko utakuwa unajiandalia mara moja kila mwezi ili kujiweka vizuri zaidi. Ukishaanza kutumia ni ndani ya siku 5 tu utakuwa umepona na hata mkojo utauona ulivyobadilika kuwa msafi.

KWA WANAUME
Endapo una shida ya kupungukiwa heshima ya ndoa, unawahi sana kufika kileleni, unashindwa kurudia tendo baada ya kumaliza mara moja au mbegu zako za kiume ni dhaifu zinazoshindwa kumpa ujauzito mwanamke hakikisha unatumia unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge.
Unga huu wote kutoka Masha Products kwa sasa upo katika ofa ya mwezi December ambapo ni Tsh 40,000 kwa vyote.
Tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na kwa kipindi hiki tunatuma kutokea Mwanza.

Tuachie ujumbe WhatsApp 0622925000 kwa majibu ya haraka zaidi


No comments:

Post a Comment