Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa au kukosa nyege huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume, lakini wanaume hukerwa zaidi kuliko wanawake, ifahamike kuwa mwanaume akikosa hamu ya tendo la ndoa mwanamke au mke wake atajua tu, ila mwanamke akikosa hamu ya tendo la ndoa siyo rahisi mwanaume kujua kama hatamwambia au hatakuwa muwazi. Tatizo hili linaathiri asilimia 20 ya wanaume wakati wanawake ni mara mbili ya wanaume.
Hali ya kujisikia kufanya mapenzi kwa mwanamke inabadilikabadilika sana ikipanda na kushuka kulingana na matukio mbalimbali yanayomtokea katika maisha yake.
MATUKIO YANAYOATHIRI MWANAMKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
-Kuisha kwa mahusiano ya kimapenzi na mwanaume
-Kuwa na matatizo/ugomvi wa mara kwa mara katika mapenzi/mahusiano
-Kupata ujauzito
-Kuwa na magonjwa mbalimbali
-Kuwa na mawazo au stress hasa kwa wanawake waliokosa kushika mimba kwa muda mrefu
JINSI YA KUTAMBUA KAMA UNA TATIZO HILI
Kwanza ifahamike kuwa tatizo hili halitokei ghafla tu kama kuugua mafua, huanza taratibu sana na pengine mwanamke anaweza asigundue. Sanasana pima mwenendo wako wa masuala ya mapenzi kwa mwaka uliopita na miezi ya hivi karibuni. Tatizo hili halitokei kwa kutofanya mapenzi kwa muda mrefu au kuhesabu kuwa umeshafanya mapenzi mara ngapi. Mawazo yako kuhusu tendo la ndoa ndiyo ya muhimu katika kujipima.
Viashiria vingine ni vyaweza kuwa kila mara uwapo chumbani na mpenzi wako na anakutomasa sehemu mbalimbali zenye kuleta hisia lakini kwa muda mrefu husikii chochote au hupati nyege basi tambua tayari una tatizo hilo.
Saturday, 18 July 2015
MWANAUME KUWAHI KUMALIZA ANAPOFANYA TENDO LA NDOA
Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwa premature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi ikiwa ni pamoja na vijana wenyewe.
Mtaalamu Ira Sharlip anasema katika utafiti wake kuwa, ni kiasi cha asilimia 20 hadi 30 ya wanaume wa rika zote wana tatizo hili la kumaliza mapema pindi wafanyapo ngono na wenza au wapenzi wao.
Njia za kitabibu za kuweza kumtambua mtu mwenye udhaifu huu huitwa Intravaginal Ejaculation Latency Time (IELT). Hata hivyo mtaalamu Ira Sharlip anaongeza kuwa utaratibu huu haumsaidii sana muathirika wa tatizo hili. Kuna wanaume ambao wanamaliza katika dakika moja tu baada ya kuingiza uume wake ndani ya uke wa mwanamke, wanaume hawa wengi wao hudai kuwa hawana matatizo japo huo ndo mwanzo wa tatizo hilo.
Na kwa upande mwingine kuna wanaume ambao wanaweza kuchukua dakika 20 au zaidi bila kutoa mbegu wakati wa kufanya mapenzi, hilo linawezekana tu endapo mwanaume hana tatizo la premature ejaculation na anaweza kuhimili na kuzitawala hisia zake hasa shahawa zinapokaribia kutoka. Kwa kawaida kipimo sahihi cha kuwahi kumaliza ni chini ya dakika tano, hapa ina maana kwamba mwanaume yeyote anayemaliza kabla ya dakika tano basi atambue kuwa ana tatizo hili la premature ejaculation.
Zipo baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia tatizo hili ikiwa ni pamoja na mwanaume kuwa na mawazo mengi, upigaji wa punyeto, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi.
Kuna dawa ambazo muathirika wa tatizo hili akipewa anaweza kurefusha muda wa kumaliza kama vile za kupooza msongo wa mawazo, kula chakula bora chenye mboga za majani na matunda, Kufanya mazoezi ya kutosha ambayo humjenga mlengwa namna ya kukabiliana na tendo la ndoa. Pia njia nyingine ni kujizoeza kuacha kulifikiria tendo lenyewe wakati unapohisi unakaribia kumaliza kwa kufanya polepole zaidi au kufikiria mambo mengine ya nje kama vile kuwaza mpira wa Yanga na Simba au Barcelona na Real Madrid! Jenga mazoea ya kufanya hivyo ili kukufanya uzoee.
Pia ni vizuri ukapata dawa yetu iliyotengenezwa kwa mimea ya butea superba kwani inawezekana pengine misuli ya uume imedhoofika na hata mbegu zimepungua hivyo uume unakuwa hauko imara.
Dawa hii imesaidia wengi sana, ina vidonge vinne tu kwa dozi nzima na utatumia kidonge kimoja tu kwa siku.
KWA MAELEZO ZAIDI JINSI YA KUIPATA DAWA HIYO WASILIANA NASI KWA 0767925000 AU WHATSAPP 0622925000 AU LIKE PAGE YETU FACEBOOK "Masha Nutrition Health Care"ili ujifunze mengi kuhusu Afya yako.

Subscribe to:
Posts (Atom)