Thursday, 26 November 2020

CHANGAMOTO UNGA WA MSAMITU


Hii picha ni screenshots ya jumbe za mdau mmoja aliyewahi kututafuta kabla, tukamweleza bei yetu ya Msamitu ni Tsh 37,000 kwa pakiti ambayo ni dozi ya wiki 4. Akadai atapaje kwa vile yupo mkoani(mbali na tulipo sisi), tukamuelekeza jinsi tunavyotuma mikoani kupitia ofisi za mabasi.

Kilichotokea aliona utaratibu wetu ni mgumu, akaenda kutafuta Msamitu anapopajua yeye, matokeo yake kauziwa Msamitu ambao baadae ametambua ni feki.

Leo karudi kuomba picha ya msamitu kwetu maana ameshaingizwa chaka tayari😃😃😃

Ni hivyo, vitu tunavyofundisha hapa siyo kila muuzaji atakuwa muungwana akubali kukosa pesa kwako, na pia tusiogope bei ya kitu ambacho ni halisi kuliko upate kwa bei rahisi kitu tofauti(feki)

Utaratibu wetu upo vilevile, tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, bei yetu ya Msamitu ni Tsh 37,000.
Ukihitaji unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge ni Tsh 45,000 kwa vyote.

FAIDA ZA MSAMITU NA MLONGE KWA SUALA LA UZAZI KWA WANAUME
↔️ Kuondoa kabisa madhara ya kujichua/punyeto
↔️ Kuongeza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa
↔️ Kuongeza uwezo wa kurudia tendo
↔️ Kuondoa kabisa tatizo la kuwahi kufika kileleni
↔️ Kuimarisha mbegu za uzazi kwa wanaume wenye mbegu dhaifu

Mawasiliano yetu
WhatsApp/Txt/Call:0622925000


No comments:

Post a Comment