Tuesday, 19 April 2016

JINSI YA KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA KIRUTUBISHO KILICHOTOKANA NA NYANYA



Ni mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusiana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume chanzo chake pamoja na mambo ya kufanya ili kulimaliza tatizo hilo.

Katika makala zilizopita niliongelea baadhi ya mambo yanayoweza kuchangia kuwa na tatizo hilo. Tembelea www.shinyangabusiness. blogspot.com ili kuyajua mambo hayo ambayo ni pamoja na ulevi, utumiaji wa dawa za kusisimua nguvu za kiume (vega) na upigaji sugu wa punyeto.

Sasa tuone jinsi kirutubisho kilichotengenezwa kutokana na nyanya aina ya Lycopene ambazo hulimwa nchini Thailand kinavyoweza kuwa msaada katika kutibu tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume kwa muda mfupi (mwezi mmoja hadi mitatu).

Kirutubisho hiki ni aina ya nyanya zilimwazo  nchini Thailand ambacho baada ya utafiti wa muda mrefu imedhihirika kuwa kina uwezo mkubwa wa kuboresha uzalishwaji wa mbegu za kiume hivyo kuweza kuwasaidia hata wanaume wenye matatizo ya uzazi au kutozalisha.

Kwa kitendo hicho ina maana kirutubisho hiki kinaimarisha misuli ya uume iliyolegea kutokana na upigaji wa punyeto ambapo ndiyo chanzo kikubwa cha wanaume wengi kuwahi kumaliza (kupizi mapema chini ya dakika 3) wakati wa tendo la ndoa.

Mmea huu wa nyanya sasa umeboreshwa zaidi na unapatikana katika mfumo wa vidonge (capsules) na unaweza kujipatia popote ulipo Tanzania. Maana kama ungebaki katika mfumo wa nyanya ingekuwa ngumu kusafirisha aina hiyo ya nyanya kutoka Thailand hadi barani kwetu Afrika.

Mbali na kusaidia katika masuala ya uzazi, vidonge hivi husaidia pia matatizo mengine kama Presha ya kupanda,  kansa ya matiti,  macho, vidonda vya tumbo, matatizo ya moyo na Asthma.

Kwa wanaume inashauriwa kutumia kirutubisho hiki angalau mara 2 hadi 3 kwa mwaka ili kujikinga na kansa ya TEZI DUME.

Matumizi yake unameza kidonge kimoja asubuhi na jioni pia kimoja.

Waweza jipatia vidonge hivi visivyo na kemikali katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tanga, Morogoro, Mbeya, Zanzibar na Dar as salaam. Mikoa mingine mnaweza kutumiwa kupitia ofisi za Mabasi

Mawasiliano
0622925000(whatsapp)
0767925000
0784925000