Biashara ya Mtandao ni aina ya biashara ya kisasa ambayo utendaji kazi wake hauhitaji mhusika kuwa na Frem au Duka na unamfanya kwa upande mwingine huyohuyo mhusika kuweza kuwa mwajiri lakini hahusiki katika kuwalipa Mshahara hao anaowaajiri.
Muda mfupi unaotumika kuifanya biashara hii humfanya mhusika kuweza kufanya kazi zake zingine huku Mtandao wake wa kibiashara ukizidi kukua.
JINSI YA KUANZA.
-Tafuta Kampuni yenye vigezo na mashariti rahisi.
-Pata mkufunzi mzuri na asiye na tamaa.
-Kubali kufundishwa na ukubali kuwa unahitaji kujua zaidi.
-Soma vitabu vinavyohusu biashara.
-Pata ushauri kutoka kwa mtu anayeifanya hiyo biashara, usithubutu kuomba ushauri kutoka kwa mtu asiyeifanya biashara hii maana haijui.
-Angalia kampuni ambayo haitakugeuza kuwa mtumwa wa bidhaa za gharama kubwa
-Jiunge na Kampuni ambayo ina wigo mpana na ina ofisi mikoa mingi. Hili litakusaidia kuwa na sana unapokuwa na shida ya kiofisi
Hayo ndiyo mambo ya msingi kuyafanya kabla hujaanza.
Kwa mengi zaidi wasiliana nasi kwa 0767925000 au whatsapp 07622925000 tutakupa mafunzo bure na tutakupa mwongozo ili uende ofisini ukahudumiwe
MUNGU AWABARIKI.
posted from Bloggeroid