Uyoga huo aina ya Cordyceps Militaris unaopatikana nchini China pekee Duniani umepewa jina la Uyoga wa maajabu kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mengi hasa mgonjwa anapoitumia tiba yake kwa muda wa kuanzia miezi mitatu.
Uyoga huu umaovunwa kutoka katika miti maalumu ambapo ndipo unapojiotesha, umekuwa msaada mkubwa kwa matumizi ya Binadamu hususani katika kutibu magonjwa mbalimbali sugu na yaliyoshindikana. Una uwezo mkubwa sana pia wa kumkinga Binadamu asipatwe na magonjwa mara kwa mara hasa wale wanaokuwa na ya kuugua magonjwa kila mara.
Uyoga huu sasa umetengenezwa katika mfumo wa vidonge ili kurahisisha upatikanaji wake ulimwenguni kote. Dozi moja au kopo moja la dawa hii lina vidonge 60 ambavyo mgonjwa atavitumia kwa muda wa mwezi mmoja.
Basi aina hii ya uyoga tafiti zinaonyesha ni dawa asili ambayo ina uwezo mkubwa sana wa kuangamiza bakteria kama Pneumococci wanaosababisha ugonjwa wa Nimonia au kifua cha kubana na kukohoa, pia bakteria aina ya Streptococcus wanaosababisha pia Nimonia na magonjwa ya ngozi.
Pia inatibu maambukizi ya virusi mbalimbali vinavyosababisha mafua na kuvimba kwa matezi, wadudu wanaosabisha matatizo ya ini kama Adenovirus, hepatitis virus aina zote, herpes na influenza virus ma kikohozi kikavu kwa watoto.
Kwa ujumla aina hii ya uyoga imekuwa ikitumiwa magonjwa yote ya kifua kama kifua kubana, kikohozi cha muda mrefu, mafua sugu, tonsilitis au tezi kuvimba kooni n.k.
Mbali na kutibu maambukizi ya bakteria tu pia ina uwezo mkubwa sana wa kuwashambulia na kuwaua vimelea kwenye damu wanaoshambulia mfumo wa mkojo mfano wakinababa ambao wana maumivu makali wakati wa kukojoa kutokana na maambukizi ya zinaa na pia wana maumivu ya kibofu cha mkojo na figo kwa ujumla, kiuno kukaza na kuuma.
Wakinamama wanaotoka na uchafu mwingi wenye harufu kali na kiuno kuuma sana upande mmoja ambapo ni kiashiria kuwa maambukizi yamefikia kwenye mirija ya uzazi, hii hutokea endapo umekuwa ukiweka dawa za fangasi kwa muda mrefu bila mafanikio.
Pia akinababa wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume uyoga huu ni mkombozi kwao kwani una uwezo mkubwa wa kurudisha hisia za tendo la ndoa na pia kulimaliza kabisa tatizo endapo mhusika atafuata ushauri atakaopewa na mshauri anayemhudumia.
NB: INASHAURIWA KIAFYA KUTUMIA AINA HII YA UYOGA KAMA UNATAKA UGONJWA WAKO USIJE UKAWA SUGU NA UKASHINDWA KUUTIBU
Katika kuufanya uyoga huu uweze kupatikana kila mahali Duniani, wataalamu wameutengeneza katika mfumo wa vidonge hivyo kufanya iwe rahisi kuupata kila mmoja.
Unaweza kujipatia vidonge hivi hata kama siyo mgonjwa kwani kazi zake ni kama nilivyozitaja, vidonge hivi unaweza kuvipata kwa kuwasiliana nasi kwa namab 0767925000 au whatsapp 0622925000