©️ Masha Products
WhatsApp: 0622925000
Kuna njia mbili za kukusaidia kujitibu hili tatizo:
1. MBEGU ZA PAPAI
Chukua mbegu za papai, anika kwa muda mrefu kivulini, twanga au saga upate unga. Utakuwa unatumia unga huo kijiko kimoja cha chai kwa kunywea kwenye uji mwepesi kutwa mara tatu hadi utakapojiona umekuwa sawa
2. MAJANI YA MSITAFELI
Kausha majani ya msitafeli kivulini, tengeneza unga wake, kunywa kijiko kimoja cha chai kutwa mara mbili hadi utakapojisikia vizuri. Msitafeli hutibu pia Kisukari, Presha, Tezi dume, kansa yoyote iliyopo hatua za awali n.k
Kwa wanaume wote wenye changamoto hizi hapa chini watumie unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge:
⏺️ Wenye tatizo la kufika kileleni mapema
⏺️ Wenye tatizo la kushindwa kurudia tendo baada ya kumaliza mara moja
⏺️ Wenye shida ya kupungukiwa uimara wa mbegu yaani haziwezi kutungisha mimba.
Matumizi kwa Msamitu chemsha maji nusu lita, yakichemka weka unga kijiko kimoja cha chai, maji hayo nusu lita yatumie asubuhi na jioni.
Unga wa mizizi ya mlonge tumia kijiko kimoja cha chakula kutwa mara mbili unachanganyia kwenye maji moto au uji mwepesi.
Upatikanaji wa Msamitu na Mlonge kutokea Masha Products huwa tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, tunatuma kutokea Mwanza.
Gharama za Msamitu na Mlonge ni Tsh 45,000 vyote kwa pamoja.
Mawasiliano 0622925000
Thursday, 26 November 2020
MBEGU ZA PAPAI KUTIBU TATIZO LA INI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment