Thursday, 26 November 2020

MWANAUME NA NGUVU ZA KIUME

©️Masha Products
WhatsApp: 0622925000

Moja ya maswali mengi tunayopata kutoka kwa wanaume ni tatizo la kuwahi kufika kileleni, ambalo kwa mafundisho yetu tiba yake ni kutumia unga wa mizizi ya mlonge.

Shariti kubwa la unga huu wa mizizi ya mlonge ni kuhakikisha unakuwa katika ubora wake, yaani umeandaliwa vizuri pasipo kuanikwa juani

Kwa rai hiyo, mwanaume ili uendelee kuwa imara zaidi katika heshima ya ndoa, ni lazima ukubali kubadilika katika milo yako.

Tumia chai na vitafunwa vyenye Zinc na Iron kwa wingi.
Hapa chai inayokufaa ni iliyoandaliwa kwa unga wa mizizi ya mlonge. Unga huu wa mizizi ya mlonge ndio uwe majani yako ya chai. Unaweza kunywa chai hiyo na karanga, korosho, ndizi mbivu au vingine vyote vyenye Zinc kutokana na uelewa wako wa makundi ya vyakula.

Sisi Masha Products tunasambaza unga halisi wa mizizi ya mlonge, gharama yetu ni Tsh 37,000 kwa pakiti kubwa unayoweza kutumia kwa zaidi ya miezi mitatu. Utaratibu wa kupata popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na tunatuma kutokea Mwanza.

Endapo mwanaume anakuwa alifanya mchezo wa kujichua(punyeto) inamlazimu kuongezea unga wa Msamitu na atatumia vyote viwili(mlonge na msamitu). Vyote viwili Tsh 45,000

Maswali yote au mahitaji ya unga huo wote tuachie ujumbe WhatsApp 0622925000


No comments:

Post a Comment