Monday, 26 October 2015

UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI KWA KIFUPI

KISUKARI ni moja ya magonjwa yanayoathiri watu wengi siku hizi nchini mwetu na hata nje.
Kati ya hao, wengi huishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu na kuja kugundua kwamba wana kisukari baada ya muda wa kama miaka mitano hivi, baada ya mwili kuanza kuonesha dalili kuu za kisukari.

Ndani ya kipindi hicho cha miaka mitano, tayari mwili unakuwa umepoteza baadhi ya uwezo wake katika macho, figo, fizi na neva za fahamu.

Kisukari hakina dawa ya kutibu kabisa, bali vipo vichocheo (hormone) na dawa zinazosaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI.


-Kiu Ya Maji Isiyoisha
Njaa Kali.

-Haja Ndogo Mara Kwa Mara.

-Vidonda Au Michubuko Kuchukua Muda Mrefu Kupona.

-Nyingine Ni Ngozi Kuwa Kavu Na Kuwasha.

-Mgonjwa Kupoteza Uzito Bila Sababu.

-Kuwa Na Ukungu Machoni,
Kuchoka Kusiko Kwa Kawaida.

-Hisia Kupungua Katika Vidole Na Viganja.

-Mikononi Na Miguuni Na Kuwa Na
Ukungu Katika Fizi.

-Ngozi Na Kibofu Cha Mkojo.
Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Uume KutokuSimama.

-Mwanamke Kujifungua Mtoto Mwenye Uzito Wa Zaidi Ya Kilo Nne Na Aliyekuwa Na Kisukari Cha Ujauzito Anaangukia Pia Kwenye Kundi Hilo, Sawa Na Wale Wanaokuwa Wamepata Ajali Na Kuumia Sehemu Za Tumboni Au Kula Chakula Chenye Sumu Ambacho Kinaweza Kuumiza Kongosho.


MADHARA YA KISUKARI

=>Magonjwa Ya Moyo,
Kiharusi.

=>Matatizo Na Kuharibika Kwa Kibofu Cha Mkojo.

=>Shinikizo La Juu La Damu
Upofu.

=>Kufa Neva Za Fahamu,
Uharibifu Katika Fizi Na Ugonjwa Wa Fangasi.

=>Mwanaume Kupoteza Kabisa Nguvu Za Kiume.

=>Mtu Anapokuwa Na Kisukari, Mzunguko Wa Damu Miguuni Hupungua Na Hii Ndiyo Sababu Kubwa Ya Kufa Kwa Neva Za Fahamu Na Hivyo Mtu Kukosa Hisia Katika Eneo Hilo La Mwili.

=>Kinga Ya Mwili Kushuka Kwa Kiasi Kikubwa Hivyo Kufanya Mgonjwa Kuugua Ugua Magonjwa Mengine Kila Mara.

MATIBABU

Kwa Kawaida Kwa Tiba Ya Hospitali Matibabu Ya Kisukari Hayana Mwisho Hivyo Mgonjwa Huwa Mtumiaji Wa Dawa Katika Maisha Yake Yote.

Tunayo Tiba Ya Moja Kwa Moja Ya Ugonjwa Huu Kwa Kutumia Vidonge Vilivyotengenezwa Kwa Uyoga Mwekundu Unaopatikana Nchini Pekee.
Uyoga Huu Una Uwezo Mkubwa Wa Kusawazisha Kiwango Cha Sukari Mwilini Pamoja Na Kuongeza Kinga Ya Mwili Kwa Kiwango Kikubwa Sana Hivyo Kuondoa Kabisa Hali Ya Kuugua Ugua Magonjwa Mbalimbali Kila Mara.
Tiba Hii Inashauriwa Kutumika Kwa Muda Japo Miezi Mitatu(3).

Tunapatikana Mwanza na Shinyanga, Pia Mikoa Mingine Tunao Wawakilishi Wetu.

MAWASILIANO
0767925000
0622925000(WHATSAPP)
posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment