Tuesday, 24 November 2015

UNATUMIA TIBA SAHIHI, LAKIN KWANINI TATIZO LAKO LINAJIRUDIA...?


KWANINI UNAPATA TIBA SAHIHI LAKINI UGONJWA WAKO UNAJIRUDIA...?

Habari za leo ndugu Watanzania wenzangu, nawakaribisha tena leo katika makala zangu za Afya ili kuzidi kukumbushana mambo muhimu kuhusu Afya na Miili yetu kwa ujumla.

Somo letu leo linawahusu hasa wale wanaougua Ugonjwa wowote lakini baada ya muda fulani Ugonjwa wao hujirudia.

Baadhi ya Magonjwa hayo ni pamoja na Homa za mara kwa mara, UTI, Kikohozi cha muda mrefu, Kuumwa kichwa bila kikomo, Uvimbe kwenye kizazi, matatizo ya mizunguko ya hedhi, Upungufu wa Nguvu za kiume n.k

KWANINI MATATIZO HAYO HUJIRUDIA?
Kuna tatizo moja sugu sana ambalo Watanzania tumezoea kulifanya, nalo ni kupenda kutibu dalili tu ya tatizo badala ya kutibu chanzo cha tatizo.
Imezoeleka kuwa mtu akijisikia basi yeye anachokifanya ni kuhakikisha hayo maumivu yanapotea tena kwa kutumia vidonge vya maumivu tu. Hataki kujishughulisha kujua KWANINI ANAUMWA? NINI CHANZO?

Wadada wengi wanasumbuliwa na maumivu na mizunguko mibovu ya hedhi, nao wanakimbilia kujipiga vidonge vya maumivu tu..!!!
Mwingine ana Uvimbe kwenye kizazi, basi yeye anaamua kwenda kufanyiwa operation ya kuondoa tu huo uvimbe, hajui kuwa Uvimbe utajirudia na hataki kuondoa chanzo cha uvimbe. Sasa utaondoaje Uvimbe huku chanzo chake ambacho ni HORMONAL IMBALANCE bado umekiacha...!!!
Tabia yako ya kula vitu vinono vyenye mafuta mengi, sukari nyingi hutaki kuviacha lakini jambo la ajabu hutaki kuugua..!!!!

Mwanaume mwingine ana upungufu au hana kabisa NGUVU ZA KIUME, anachokifanya yeye ni kutafuta tu vidonge vya nguvu za kiume(Vega) na kuanza kutumia bila kujua madhara yake na pia atakuwa hawezi kufanya tendo la mpaka ameze hivyo vidonge. Kiufupi vidonge hivyo vinakufanya uwe tegemezi maisha yako yote.
USITUMIE DAWA KWA AJILI YA KUSISIMUA, TUMIA DAWA KWA AJILI YA KUTIBU TATIZO.

DAWA ZINAZOTIBU MAGONJWA HAYO KWA KUANZA NA KUTIBU CHANZO CHA UGONJWA ZIPO, DOZI ZAKE NI KUANZIA MIEZI MIWILI HADI MITATU NA TATIZO LINAISHA KABISA.

MAWASILIANO:
0767925000
0622925000(WHATSAPP)

TUNAPATIKANA MWANZA, TANGA, MOROGORO, MBEYA NA DAR


USITIBU DALILI YA UGONJWA, TIBU CHANZO CHA UGONJWA
posted from Bloggeroid

No comments:

Post a Comment