Tuesday, 3 November 2015

VYAKULA VINAVYOIMARISHA NGUVU ZA KIUME





Tukiwa tunaendelea na makala zetu maalumu kwa ajili ya kutokomeza upungufu wa nguvu za kiume hususani kwa kutumia Tiba Lishe, leo tunaangalia baadhi ya Vyakula ambavyo husaidia katika kuimarisha nguvu za kiume.

1. VYAKULA VYA NAFAKA
Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za Testosterone kwenye damu pia huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kuongeza nguvu za kiume.
Vyakula vya Nafaka ambavyo vimesheheni nishati nyingi, nafaka zina nyuzinyuzi(fibre) na sukari ambazo husaidia kutunza uzito wa mwili.
Kula nafaka zisizokobolewa kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri kiafya zinasaidia kutoupa mwili mafuta mengi, ikumbukwe kuwa iwapo mwili una mafuta mabaya yanaharibu mishipa ya damu ikiwamo ya uume.

2. TANGAWIZI
Ni aina ya kiungo mizizi ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Mzunguko unapokuwa mzuri huwezesha damu kwenda sehemu ya viungo vya uzazi ikiwamo uume na hivyo kufanya nguvu za kiume kuwa imara.

3. ULAJI WA KARANGA
Inafahamika kwamba Ulaji wa karanga huenda kuamsha mishipa ya damu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

4. MVINYO MWEKUNDU
Mvinyo mwekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu huku ikimwondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa.
Hiyo ndiyo sababu kubwa kuikuta imewekwa katika vyumba kwenye Hoteli kubwa Duniani. Nchi kama Italia Mvinyo ni kinywaji ambacho hakikosekani mezani kutokana na kuaminika miaka kwa miaka katika tendo la ndoa.

5. VANILA husaidia kuamsha hamasa mwilini, vanila ni aina ya kirutubisho ambacho huwamo ndani ya vyakula ikiwamo ice cream.

6. ASALI ina madini yanayoitwa Boron ambayo husaidia mwili kutumia homoni.
Hata vitabu vya dini huelezea Ulaji wa ASALI na MASEGA yake kama mlo wenye kuupa mwili nguvu . Zipo tafiti kibao kuhusu faida za asali ikiwemo ya kuongeza nguvu za kiume.

7. CHOCOLATE
Ulaji wa chocolate huongeza uchangamfu mwilini hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake.
Chocolate ina kemikali ya phenylethylamine ambayo husababisha hisia za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni. Pia chocolate ina kiasi kikubwa cha nishati inayokupa nguvu mwilini.

Vyakula vingine ni kama Pilipili manga, makoma manga, kweme na njugu mawe. Pia ulaji wa baadhi ya mboga za majani ni muhimu ila kwa sasa kuna changamoto kubwa kutokana na ulimaji wa mboga hizi kwa sasa wakulima wengi wanatumia mbolea na madawa mengi yenye kemikali hivyo kufanya mboga hizo kupoteza radha yake na hata kujiongezea matatizo mwilini. Hivyo mboga nzuri za majani ni zile unazoweza kulima na kuzitunza mwenyewe.

Kama tayari umeshaathirika na upungufu wa nguvu za kiume, tiba yako siyo vyakula ila ni kutumia dawa na hatimaye kurudi katika chakula sasa.

Tuna dawa zilizotengenezwa kwa mimea na utatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu na unarudi katika hali yako ya kawaida.
Tunajua vijana wengi wameathirika na tabia ya kujichua na kujikuta wakiishia kuishiwa nguvu za kiume.

Tunapatikana Mwanza, Shinyanga, Tanga, Morogoro, Mbeya na Dar es salaam.
Mikoa mingine huwa tunatuma dawa kupitia ofisi za Mabasi ya mikoani.

MAWASILIANO:
0767925000
0622925000(whatsapp)
Masha Masanja (Health Consultant)
posted from Bloggeroid

1 comment: