Hii picha ni screenshots ya jumbe za mdau mmoja aliyewahi kututafuta kabla, tukamweleza bei yetu ya Msamitu ni Tsh 37,000 kwa pakiti ambayo ni dozi ya wiki 4. Akadai atapaje kwa vile yupo mkoani(mbali na tulipo sisi), tukamuelekeza jinsi tunavyotuma mikoani kupitia ofisi za mabasi.
Kilichotokea aliona utaratibu wetu ni mgumu, akaenda kutafuta Msamitu anapopajua yeye, matokeo yake kauziwa Msamitu ambao baadae ametambua ni feki.
Leo karudi kuomba picha ya msamitu kwetu maana ameshaingizwa chaka tayari😃😃😃
Ni hivyo, vitu tunavyofundisha hapa siyo kila muuzaji atakuwa muungwana akubali kukosa pesa kwako, na pia tusiogope bei ya kitu ambacho ni halisi kuliko upate kwa bei rahisi kitu tofauti(feki)
Utaratibu wetu upo vilevile, tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, bei yetu ya Msamitu ni Tsh 37,000.
Ukihitaji unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge ni Tsh 45,000 kwa vyote.
FAIDA ZA MSAMITU NA MLONGE KWA SUALA LA UZAZI KWA WANAUME
↔️ Kuondoa kabisa madhara ya kujichua/punyeto
↔️ Kuongeza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa
↔️ Kuongeza uwezo wa kurudia tendo
↔️ Kuondoa kabisa tatizo la kuwahi kufika kileleni
↔️ Kuimarisha mbegu za uzazi kwa wanaume wenye mbegu dhaifu
Mawasiliano yetu
WhatsApp/Txt/Call:0622925000
Thursday, 26 November 2020
CHANGAMOTO UNGA WA MSAMITU
MWANAUME NA NGUVU ZA KIUME
©️Masha Products
WhatsApp: 0622925000
Moja ya maswali mengi tunayopata kutoka kwa wanaume ni tatizo la kuwahi kufika kileleni, ambalo kwa mafundisho yetu tiba yake ni kutumia unga wa mizizi ya mlonge.
Shariti kubwa la unga huu wa mizizi ya mlonge ni kuhakikisha unakuwa katika ubora wake, yaani umeandaliwa vizuri pasipo kuanikwa juani
Kwa rai hiyo, mwanaume ili uendelee kuwa imara zaidi katika heshima ya ndoa, ni lazima ukubali kubadilika katika milo yako.
Tumia chai na vitafunwa vyenye Zinc na Iron kwa wingi.
Hapa chai inayokufaa ni iliyoandaliwa kwa unga wa mizizi ya mlonge. Unga huu wa mizizi ya mlonge ndio uwe majani yako ya chai. Unaweza kunywa chai hiyo na karanga, korosho, ndizi mbivu au vingine vyote vyenye Zinc kutokana na uelewa wako wa makundi ya vyakula.
Sisi Masha Products tunasambaza unga halisi wa mizizi ya mlonge, gharama yetu ni Tsh 37,000 kwa pakiti kubwa unayoweza kutumia kwa zaidi ya miezi mitatu. Utaratibu wa kupata popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na tunatuma kutokea Mwanza.
Endapo mwanaume anakuwa alifanya mchezo wa kujichua(punyeto) inamlazimu kuongezea unga wa Msamitu na atatumia vyote viwili(mlonge na msamitu). Vyote viwili Tsh 45,000
Maswali yote au mahitaji ya unga huo wote tuachie ujumbe WhatsApp 0622925000
MBEGU ZA PAPAI KUTIBU TATIZO LA INI
©️ Masha Products
WhatsApp: 0622925000
Kuna njia mbili za kukusaidia kujitibu hili tatizo:
1. MBEGU ZA PAPAI
Chukua mbegu za papai, anika kwa muda mrefu kivulini, twanga au saga upate unga. Utakuwa unatumia unga huo kijiko kimoja cha chai kwa kunywea kwenye uji mwepesi kutwa mara tatu hadi utakapojiona umekuwa sawa
2. MAJANI YA MSITAFELI
Kausha majani ya msitafeli kivulini, tengeneza unga wake, kunywa kijiko kimoja cha chai kutwa mara mbili hadi utakapojisikia vizuri. Msitafeli hutibu pia Kisukari, Presha, Tezi dume, kansa yoyote iliyopo hatua za awali n.k
Kwa wanaume wote wenye changamoto hizi hapa chini watumie unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge:
⏺️ Wenye tatizo la kufika kileleni mapema
⏺️ Wenye tatizo la kushindwa kurudia tendo baada ya kumaliza mara moja
⏺️ Wenye shida ya kupungukiwa uimara wa mbegu yaani haziwezi kutungisha mimba.
Matumizi kwa Msamitu chemsha maji nusu lita, yakichemka weka unga kijiko kimoja cha chai, maji hayo nusu lita yatumie asubuhi na jioni.
Unga wa mizizi ya mlonge tumia kijiko kimoja cha chakula kutwa mara mbili unachanganyia kwenye maji moto au uji mwepesi.
Upatikanaji wa Msamitu na Mlonge kutokea Masha Products huwa tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, tunatuma kutokea Mwanza.
Gharama za Msamitu na Mlonge ni Tsh 45,000 vyote kwa pamoja.
Mawasiliano 0622925000
Sunday, 22 November 2020
KUTIBU KISUKARI NA HESHIMA YA NDOA KWA WANAUME
CREDIT: MASHA PRODUCTS
WHATSAPP: 0622925000
Baada ya kufahamu kuwa mchanganyiko wa unga wa majani na mizizi ya Mlonge ndio mhimili wa kufanya sukari na presha yako kurudi kuwa sawa au kuwa katika kiwango cha kawaida, hatua inayofuata ni kuwa makini katika suala la chakula ili usije ukarudi kulekule kwenye tatizo lako.
Suala la msingi ni kuhakikisha unapunguza au ikiwezekana unaacha kabisa ulaji wa vyakula vyote vitamu na vyenye wanga. Hivyo ndivyo vyakula vilivyokufanya ufike katika hali hiyo ya ugonjwa wako.
Popote utakapohudumiwa unga huo(mchanganyiko wa unga wa majani na mizizi ya Mlonge) jitahidi kuwaomba wakupatie mwongozo wa chakula ili kukusaidia kutorudi kwenye tatizo lako.
Kwa wanaume wote wenye changamoto ya kufika kileleni mapema katika tendo la ndoa, tiba ya tatizo hilo ni unga wa mizizi ya mlonge. Tumia kwa kunywa kijiko kimoja cha chakula kutwa mara mbili unachanganyia kwenye maji moto au uji mwepesi ujazo wa kikombe kimoja. Tumia kwa mfululizo wa wiki 12 au zaidi.
Kutoka Masha Products, mchanganyiko unga majani na mizizi mlonge ni Tsh 37,000, pia unga wa mizizi ya mlonge pekee ni Tsh 37,000.
Na endapo mwanaume uliwahi kujichua basi inakubidi utumie unga wa Msamitu na Mlonge vyote kwa pamoja na bei yake ni Tsh 45,000 kwa sisi Masha Products.
Hivi vyote tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na tunatuma kutokea Mwanza.
Kumbuka ukichukua hivi vitu vyote tutakupatia BURE mwongozo wa chakula kutokana na tatizo lako.
Mwongozo upo katika pdf.
Tuachie ujumbe WhatsApp 0622925000 kwa majibu ya haraka.
Friday, 20 November 2020
VYAKULA VYA KUIMARISHA MIFUPA
Imeandaliwa: Masha Products
WhatsApp: 0622925000
Afya ya mifupa ni muhimu kwa kila mmoja, kirutubisho kinachohusika katika hili ni Calcium. Hii hupatikana kwa wingi katika baadhi ya vyakula ambavyo hupatikana kwa wingi katika mazingira tunayoishi.
Calcium supplements huhitajika kiasi cha 1000mg kwa mtu mzima kwa siku, japo kwa wanawake au watu wenye zaidi ya miaka 55 kinaweza kuhitajika kiasi cha 1200mg kwa siku(recommended daily intake yaani RDI for Calcium)
Umuhimu wa kirutubisho hiki huwezi kuujua faida zake kama hujaanza kupata matatizo ya miguu kuuma, kiuno na mgongo. Wenye matatizo hayo wanajua tabu zake
Kwa kifupi tuvitaje vyakula hivyo pamoja na kiasi vinavyotupatia mwilini
MBEGU ZA CHIA NA YOGURT
Hivi hutupatia zaidi ya 25% ya Calcium kwa siku pindi tukitumia. Tumia kwa wingi mbegu za Chia pamoja na yogurt
MAHARAGE
Maharage hupaswi kuyapuuza, yanatupatia 24% ya virutubisho vya Calcium
ALMONDS & NUTS
Hivi ni vyakula jamii ya karanga ambazo ni karanga zenyewe, korosho, almonds na vingine. Hivi hutupatia zaidi ya 8% ya Calcium tukila kwa siku. Vina manganese na vitamini E ambavyo pia ni msaada kwa kushusha kiwango cha Presha mwilini
MAZIWA
Ukifanikiwa kunywa maziwa hasa ya asili tambua utakuwa umeingiza kati ya 27% hadi 35% ya mahitaji ya Calcium kwa siku. Kuna watu wanadai hawapendi maziwa, watambue kuwa wanakosa kitu muhimu
MBOGA ZOTE ZA MAJANI
Mbogamboga hutupatia 27% ya kiwango cha Calcium pindi tukitumia kwa siku. Spinach ni mboga yenye kiwango kizuri mno cha Calcium.
Hivyo ni baadhi tu ya vyakula vyenye kiwango kizuri cha Calcium, tujitahidi kuvitumia ili kuepuka matatizo ya viungo au mifupa.
Mfano ukinywa maziwa baadae ukala mboga za majani na maharage utakuwa na zaidi ya 80% ya Calcium kwa siku hiyo tu!
Tumia hivyo vyakula kwa wingi muda wote, usisubiri uanze kupata matatizo ndipo utafute hivyo vyakula
Kwa wanaume wote wenye changamoto ya heshima ya ndoa yaani wanawahi kufika kileleni mapema, wanashindwa kuendelea na tendo baada ya kumaliza mara moja tu, mbegu zao za uzazi ni dhaifu haziwezi kutungisha mimba na mengine yanayohusiana na uzazi wanatakiwa kutumia unga wa Msamitu na mizizi ya Mlonge vyote kwa pamoja na watakuwa vizuri.
Kutoka Masha Products vyote viwili ni Tsh 45,000, ni halisi yaani vimeandaliwa katika ubora mzuri na tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na kwa kipindi hiki tunatuma kutokea Mwanza.
Mawasiliano 0622925000
Thursday, 19 November 2020
SOMA HAPA KAMA UMEATHIRIKA NA PUNYETO
🤚Masha Products
📲 +255622925000
Katika mambo yanayowasumbua wanaume au vijana wa kiume kwa sasa ni udhaifu katika tendo au heshima ya ndoa.
Hii inatokana na hali halisi ya madhara ya kujichua yaani upigaji punyeto kwa muda mrefu kupindukia kiasi kwamba uwezo wa kushiriki tendo na mwanamke haupo vizuri au wengine hawawezi kabisa, lakini wakiwa wenyewe kwa maana wakitaka kupiga punyeto wanaweza.
Yaani hisia zilishabaki kwenye vidole vya mikono tu lakini kwenye mwili wa mwanamke hawawezi.
Yanaweza kuwa maajabu lakini ndio ukweli wa hali ya sasa.
Ushauri mkubwa tunaoutoa leo kwa vijana au wanaume wanaojiandaa kuoa ni kuhakikisha "WANAACHA KUJICHUA/PUNYETO" angalau miezi 6 au mwaka mmoja kabla ya kuoa.
Sijui kama tumeelewana vizuri, yaani ukiacha kupiga punyeto usubiri miezi 6 au mwaka mzima ndipo uoe.
Wakati ukisubiri muda huo jitahidi sana utumie dozi kamili ya unga wa Msamitu na Mlonge vyote kwa pamoja. Ukifanikiwa kuvitumia hivi vyote(dozi ni miezi mitatu hadi minne kutokana na sisi Masha Products tunavyotoa) basi umemaliza, endelea na kula vizuri tu pamoja na mazoezi ya kawaida tu hadi miezi 6 au mwaka uishe basi oa na utafurahia tendo la ndoa na mkeo kwani nguvu zitakuwa zimekaa vizuri, uwezo wa kurudia tendo utakuwa mzuri, huwezi kuwahi kufika kileleni, uume utakuwa unasimama imara na mbegu za uzazi pia zitakuwa zenye uwezo mkubwa.
Msamitu na Mlonge kutokea kwetu Masha Products bei ni Tsh 45,000 kwa vyote viwili.
Popote mikoani huwa tunatuma kupitia ofisi za mabasi na tunatuma kutokea Mwanza.
Wadau wetu waliopo Kenya hasa sehemu za Mombasa utaratibu wa kuwatumia kwa sasa umerudi vizuri na gharama kwa ujumla ni Ksh 3,500 hadi mzigo ukufikie.
WhatsApp +255622925000
MAKOSA TUNAYOYAFANYA TUNAPOTIBU VIDONDA VYA TUMBO NA BAWASIRI
🤚 Masha Products
📲 0622925000
Leo tumeamua kuwagusia watu wenye matatizo sugu ya vidonda vya tumbo na uvimbe au kinyama sehemu ya haja kubwa
Hawa wote huathiriwa na mfumo mbovu wa mmeng’enyo wa chakula, baada ya tumbo kuwa na kiasi kikubwa cha asidi na kumkaribisha bakteria wa H-pyrol, wengi huanza kutibiwa, siyo kwa kwamba hawafanikiwi kujitibu, tatizo ni mwendelezo wa vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha asidi na hivyo kuendelea kumfaidisha huyo bakteria.
Kwa hiyo popote unapoenda kutibiwa au kupata dawa jitahidi kuwaomba wakupatie mwongozo wa vyakula ambavyo havina asidi, usijali zaidi kushiba ila angalia upate vyakula salama kwa afya yako ambavyo utakula mara nyingi uwezavyo kwa kujali njaa kuliko kujali idadi ya milo.
Ndiyo maana sisi Masha Products tunapokupatia dawa ya tatizo lolote huwa tunakupatia na mwongozo wa vyakula(PDF DOCUMENT) ili ukusaidie kutambua vyakula unavyotakiwa kula.
Stori ya vidonda vya tumbo inaweza kwenda sambamba na tatizo la kuota kinyama sehemu ya haja kubwa(bawasiri).
Ulaji wa vyakula vyote vichachu ni hatari kwako, japo vyakula vingi vichachu vina Vitamin C kwa wingi na huongeza kinga ya mwili lakini kama una vidonda vya tumbo havikufai.
Maharage, dagaa, limao, tangawizi na vingine vyote vyenye hali hiyo havikufai.
Vinywaji vyote vitamu na pombe yoyote havifai.
Uvutaji wa sigara na bangi havifai, kuna watu wana vidonda vya tumbo halafu wana tabia ya kula udongo au pemba pia haifai.
Zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa elimu zaidi ya vyakula(tupigie).
Kwa wanaume wote wenye changamoto ya heshima ya ndoa yaani wanawahi kufika kileleni, wanaoshindwa kurudia tendo baada ya kumaliza mara moja, mbegu zao za uzazi ni dhaifu zinazoshindwa kutungisha mimba na mengine mengi yanayohusiana na uzazi wanatakiwa kutumia unga wa Msamitu na Mlonge vyote kwa pamoja.
Hivi vyote vinaenda kutumika kwa wiki zaidi ya 10 huku ukipata mwongozo wa vyakula maalumu ambavyo vitakusaidia usirudie matatizo yako baadae. Mlonge na Msamitu kutoka Masha Products bei ni Tsh 45,000 na tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi na tunatuma kutokea Mwanza.
Dawa ya vidonda vya tumbo bei ni Tsh 37,000, dawa ya bawasiri ni Tsh 45,000.
Mawasiliano yetu ni 0622925000