Sunday, 10 July 2016
HATUA 5 ZA KUPATA MTOTO WA KIUME
FAHAMU KUHUSU TATIZO SUGU LA CHUNUSI
hivi ni vipele vinavyotokea usoni, kifuani na mgongoni sababu ya kubadilika kwa mfumo wa kutengeneza mafuta wa ngozi.
chanzo ni nini?
hii husababishwa na kuongezeka hormone za uzazi aina ya testosterone kwa jinsia zote hasa hasa kipindi cha kubalehe na kuvunja ungo kwa jinsia zote.
matibabu.
matibabu yamegawanyika katika sehemu kuu tatu kama ifuatavyo....matibabu kwa chakula, matibabu ya kimwili na matibabu ya dawa za hospitali.
matibabu ya chakula..
- ondoa chumvi kwenye chakula chako au kula chumvi kidogo sana.
- epuka ulaji wa sukari na vyakula vyote vya kukaanga kama chips, maandazi na chapati.
- pendelea kula vyakula vya asili kama wali, ugali, mchicha, maharage, njegere vikiwa vimeungwa mafuta kidogo sana pia kula kwa wingi karoti mbichi kwa sababu zina vitamin A ambayo ni nzuri sana kwa ngozi
- kunywa maji mengi ili kuondoa sumu zote mwilini na kulainisha ngozi.
matibabu ya kimwili.
- acha ngozi yako ipate jua la asubuhi na jioni kila siku.
- weka sura yako kwenye mvuke wa maji ya moto kila siku.
- shiriki mazoezi ya aina yeyote hata kama ni kuruka kamba tu angalau utokwe jasho kupunguza kiasi cha mafuta mwilini.
- kuna dawa zinasaidia kuondoa chunusi i.e antibiotiki kama doxcycline, vidonge vya vitamini A na vidonge vya hormone kwa wanawake mfano oetrogen, persol tube na kadhalika.
mwisho:
watu wengi hawaponi chunusi kwa sababu ya kupenda kutumia njia moja tu ya matibabu {dawa}, ni vizuri kuchanganya njia zote hapo juu kwa matokeo mazuri na inaposhindikana ni vizuri kumuona daktari bingwa wa ngozi kwa uchunguzi na matibabu zaidi.
Uvimbe sehemu ya haja kubwa - bawasiri/bawasili (HAEMORRHOIDS)
- Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
- Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
- Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
- Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.
- Tatizo sugu la kuharisha
- Kupata kinyesi kigumu
- Ujauzito
- Uzito kupita kiasi (obesity)
- Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
- Kwa ujumla mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
- Umri mkubwa
- Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
- Maumivu au usumbufu
- Kinyesi kuvuja
- Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
- Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa
- Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
- Strangulated hemorrhoids
- Digital rectal examination
- Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
- Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)
- Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
- Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
- Coagulation (infrared, laser and bipolar)
- Hemorrhoidectomy
- Stapled hemorrhoidopexy
- High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
- Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita hadi nane kwa siku)
- Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
Njia sahihi ya kupunguza Kitambi na Unene
MAUMIVU MAKALI YA MGONGO
![]() |
| (Mgongo) |
![]() |
| (Maumivu yanayosambaa) |
- Maumivu yasiyohama (yapo katika eneo la mgongo husika haijalishi unafanya nini - localized pain). Mara nyingi maumivu ya namna hii ni yale yanayokuwa yametokana na kujeruhiwa kwa misuli/mifupa ya mgongo kwa ajali au kupigwa eneo la mgongoni. Au, ni yale yanayotokana na mkao mbaya usiozingatia afya ya mgongo hivyo kusababisha kuchanika kwa misuli ya ndani ya mgongo na kusababisha maumivu!!
- Maumivu yanayosambaaa na kuangazia maeneo mengine ya mwili wako mbali na mgongo kama vile miguu. Maumivu haya hutokana na mgandamizo katika mfumo wa fahamu/neva kutoka kwenye mifupa, uvimbe au kuumizwa kwa uti wa mgongo/neva zinazochomozea mgongoni baada ya ajali au kujeruhiwa mgongo wako kwa kupigwa/kuanguka. Mfano: shida ipo mgongoni ila unahisi ganzi kwenye miguu au miguu kuwaka moto).
- Moja ya visababishi vikuu vya maumivu ya mgongo ni aina ya kazi unayofanya. Kazi inayohitaji muda mwingi katika kukaa/kusimama au unaifanya ukiwa katika mkao wa kuinama ni kichocheo cha kupata maumivu ya mgongo.
- Mkao: nyumbani, kazini, shuleni, n.k wakati unafanya shughuli zako za kila siku, una nafasi kubwa katika kuongeza au kupunguza hatari ya kupata maumivu ya mgongo
- Ubebaji wa mizigo mizito (kufikia kilo 5 au zaidi) usiozingatia afya ya mgongo.
- Kulalia godoro laini na lililobonyea/linalobonyea katikati
wakati wa kulaa. Hii husababisha misuli ya mgongo kuvutika kupita kiasi wakati
umelala na kupelekea kuchanika hivyo kuishia
katika kupata maumivu ya mgongo na ambayo hudumu kwa muda mrefu (wote) utakokuwa unalalia godoro hilo au hata zaidi..jpg)
(Godoro la kubonyea) - Kujeruhi(wa) mgongo wako kunakotokana na ajali, michezo, kuanguka, kupigwa, n.k au uvimbe (kansa) katika uti wa mgongo.
- Ujauzito/uzito wa kupita kiasi (kitambi): wengi wanashtuka wanaposikia kuwa uzito (kitambi) husababisha maumivu ya mgongo, ila akina mama wajawazito wanafahamu! Kinachotokea huwa ni kubadilika kwa mfumo mzima wa maumbile ya mgongo na hivyo kusababisha baadhi ya misuli/mifupa kubeba uzito wakati wa kukaa au kusimam. Kuelemewa kwa misuli/mfupa hii husababisha mabadliko ya mwili katika kutafuta namna ya kufidia hali hiyo… mwisho ni maumivu!!!
- Msongo wa mawazo
(stress): msongo wa mawazo humfanya mtu kukaa katika mkao mbaya akiwaza na
kuwazua hivyo kuishia katika kupata maumivu ya mgongo kama nilvyotangulia kusema hapo juu.
- Magonjwa yanayoathiri mifupa (pingili) za mgongo kama vile TB ya mifupa ya mgongo na misuli ya pembeni mwa mifupa hiyo na kusababisha maumivu katika eneo husika.
- Kuvunjika au kuhama
kwa mifupa ya mgongo kutoka nafasi yake ya hapo awali kutokana na sababu
mbali mbali ikiwemo ajali.
.jpg)
(Msongo wa mawazo) - Umri wa uzeeni: kadri mtu anavyozidi kuukaribia uzee ndivyo kunavyozidi kutokea mabdiliko katika mifumo yote ya mwili ikiwemo ile ya mifupa-na-misuli hivyo kuleta matatizo mengine ya kimfumo yakiwemo maumivu ya mgongo na mengineyo.[Wanawake huathiriwa mapema katika uzee wao kuliko wanaume kutokana na mfumo wa vichocheo (homoni) vya miili yao kupungua kwa haraka zaidi baada ya miaka kati ya 45-55 ya umri wao wa kuishi).
- Wanaume kujihusisha na UPIGAJI PUNYETO wakati wa ujana wao. Vijana wengi ukiwauliza watakwambia wameufanya sana mchezo huu na hadi wengine kufikia kuuhalalisha kuwa ni kawaida kufanya hivyo. Kitendo hiki huhusisha kwa sana uti wa mgongo na ubongo hivyo ni chanzo kimojawapo cha maumivu ya mgongo na hata upungufu wa NGUVU ZA KIUME
- Mumivu ya kwaida hasa yale yanayotokana na mshtuko wa misuli ya mgongo au mkao mbaya huwa yanaisha yenyewe ndani ya siku 4 -14, hivo mgonjwa anashauriwa kutumia dawa za kawaida za kutuliza mamivu.
- Maumivu yanayotokana na kujeruhiwa mgongo ikiwa ni pamoja na ajali/kupigwa/kuangukia mgongo n.k) unashauriwa kufika hospitalini au kituo cha afya kilicho karibu nawe ili upate uchunguzi yakinifu na ushauri/tiba.
- Maumivu yanayoamabatana na kushindwa kumudu kuzuia haja ndogo na/au kubwa, maumivu makali ya miguu, miguu kuwaka moto/ganzi yanahitaji tiba ya haraka na dharura kwa sababu tayari mfumo wa fahamu/neva utakuwa ulishaguswa/athiriwa kwa namna moja au nyingine.
- Mwone daktari wa tiba viungo (PHYSIOTHERAPIST) aliye karibu nawe kwa ushauri kuhusu namna ya:
- Kukaa vizuri ukiwa nyumbani, kazini au shuleni
- Namna ya kubeba mizigo kwa kujali na kuingatia afya ya mgongo wako ili kuepusha kujeruhi misuli ya mgongo wako.
- Mpangilio na uboreshaji wa mazingira ya kazi yako ili kuzuia hatari za kupata maumivu ya kimfumo (misuli-na-mifupa)
- Mazoezi muhimu kwa ajili ya afya ya mgongo wako.
- Tiba ya mazoezi ya viungo (na mgongo kwa ujumla) inayoendana na shida yako husika.
NJIA SALAMA ZA KUPUNGUZA UZITO
Vyakula vya wanga na mafuta hufanya mtu kunenepa, acha au kupunguza kula vyakula hivyo.
Saturday, 9 July 2016
HIVI HAPA VYAKULA 7 VIZURI ZAIDI KWA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume mmoja kati ya watatu wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.
Sababu za kukosa nguvu za kiume
- Kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu mwilini, hasa sehemu za viungo vya uzazi kwa mwanaume.
- Kutokuwa na kiwango cha kutosha cha homoni ya Testosterone
- Kupungukiwa protini na hivyo kukosa amino asidi mwilini
Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume
1. Blueberry

2. Mtini (Figs)

3. Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters)

4. Karanga

5. Vitunguu saumu

6. Ndizi

7. Chocolate

Vyakula ni bora kuliko madawa makali
Ni vizuri kula kwa kiasi kabla ya kufanya mapenzi, hasa wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala. Kuvimbiwa husababisha mwili kufanya kazi ya ziada ya kumeng’enya chakula hivyo kuingiwa na uchovu, uvivu na kunyong’onyea. Hii husabisha kukosa usingizi na kupungua kwa umahiri wako katika kufanya shughuli nyingi zinazohitaji nguvu, ikiwemo mapenzi, kwa ufasaha. Usije kumtafuta mchawi wakati wewe ndio unajiroga, kuwa makini.
Friday, 8 July 2016
ITAMBUE SIKU YAKO YA UZAZI
SIKU YA UZAZI MZUNGUKO WA KAWAIDA NA MREFU SIKU 28-35
****NOTE, KAMA HUJUI KUHESABU SIKU ZA MZUNGUKO WAKO BASI TAFUTA MAKALA IPO HAPA CHINI
》》》》》
Kwa wale wanandoa wenye uhakika na MIZUNGUKO YAO ya mwezi. Mfano una uhakika kabisa ya kwamba mzunguko wako wa hedhi ni siku 28 au 32 au 35 na kwamba mzunguko huu umeuona kwa muda wa miezi mitatu basi leo nawapa SIRI YENYE UHAKIKA WA 70% kujua siku zako za uzazi.
MZUNGUKO WA SIKU 28 KWA MFANO
SIKU YA 14 NDIO SIKU YA UZAZI.
FORMULA IKO HIVI
>>>>hesabu siku 15 kuanzia siku ya 28 na kurudi nyuma, yaani tarehe 28 siku ya 1, tarehe27 ya pili,26 ya tatu,25 ya nne ,24 ya tano,23 ya sita,22,21,20,19,18,17,16,15, na tarehe 14 ni siku ya kumi na tano
Katika mzunguko huu siku nzuri ya kuanza kuwa karibu na mwenzako ni kuanzia siku ya 12 hadi siku ya 16.
Mfano huu ni kwamba kama umepata bleed tarehe 1 mwezi wa 7 na mzunguko wako ni siku 28 basi tarehe 14 ndio SIKU YA UZAZI, lakini wewe anza shughuli tarehe 12 hadi 16. Hii ni kwa sababu yai likitoka katika nyumba yake ya mayai linaweza ishi masaa24 tu wakati mbegu za kiume zinaweza ishi masaa hadi 72 na zaidi
MZUNGUKO WA SIKU 34 KWA MFANO
SIKU YA 20 NDIO SIKU YA UZAZI
FORMULA IKO HIVI
Hakikisha mzunguko huu ni mzunguko ulioupata katika miezi mitatu iliyopita. Kama mzunguko unarukaruka basi formula hii haiwezi kukufaa.
Mfano Umepata hedhi mwezi wa saba tarehe 1 manayake siku ya 34 ni mwezi wa 8 tarehe 3. Sasa hesabu siku 15 kuanzia tarehe 3 mwezi wa 8 na kurudi nyuma.
Yaani tarehe 3 mwezi wa 8 itakuwa siku ya kwanza ,tarehe 2 mwezi wa 8 itakuwa siku ya 2,tarehe 1 mwezi wa nane itakuwa siku ya 3 ,tarehe 31 mwezi wa 7 itakuwa siku ya 4, tarehe 30 siku ya 5, endelea 29,28,27,26,25,24,23,22,21, hadi tarehe 20 itakuwa siku ya 15.
>>>Katika mfano huu ni kuwa kama umepata bleed tarehe 1 mwezi wa 7 basi SIKU YAKO YA UZAZI ni tarehe 20. Kwa hiyo unatakiwa kuwa karibu na mwenzio kuanzia tarehe 18 hadi 22.
USHAURI WA BURE ni kwamba katika siku hizi Epuka kuwa mgomvi na mnyimi kuwa mkarimu na mpole ili uongeze furaha ya mwenzako afanye kazi kwa bidii na vizuri.
Sasa tarehe zinaambatana pia na dalili moja kubwa ya kuwa na UTEUTE UKENI, ute huu ni ule kama utaingiza vidole viwili katika uke na kisha ukitoa vitanue kama unaweka alama ya V. UTAONA UTE UNAOVUTIKA KAMA UZI.
BASI JUA KWA HAKIKA HIYO NDIYO SIKU YAKO YA UZAZI. Kama utajaribu miezi kadhaa na kukosa kushika mimba basi tambua ya kwamba kuna tatizo lingine kubwa ama kwa mwenzako au kwa wewe mwenyewe.
>>>> IKIWA UNA MATATIZO YA BLEED AU HEDHI YENYE KURUKA RUKA AU HAIPO KABISA AU UNATOA DAMU NYINGI AU INAKAA MUDA MREFU ZAIDI YA SIKU 7 AU NI ILE INATOKA SIKU MOJA TU BASI USISITE KUWASILIANA NASI KWA USHAURI ZAIDI <<<<<
PI UNAKARIBISHWA KUNUNUA PEDI ZETU ZENYE DAWA NA ZENYE UWEZO WA KUTIBU MIWASHO, FANGASI NA MAUMIVU WAKATI WA SIKU ZA HEDHI
Call/txt 0767925000
Watsap 0622925000
Sunday, 22 May 2016
ZIJUE TABIA 10 ZINAZOHARIBU FIGO
By Masha Masanja
Call/txt/whatsapp 0622925000
Kwa kifupi sana leo tunakutajia baadhi ya Tabia zinazochangia kuharibika kwa Figo. Tutambue kuwa tatizo hili la kufeli kwa figo limeshawakumba wengi na baadhi yao wameshapoteza maisha.
Ukiwa mzima mshukuru Mungu na ni vyema ukasoma makala hii ili kujinusuru na janga hili la kuharibikiwa figo.
Hizi hapa ni baadhi ya tabia 10 zinazoharibu figo:
1. Kubana mkojo kwa muda mrefu
2. Kutokunywa maji ya kutosha
3. Kutumia chumvi nyingi
4. Kula nyama mara nyingi zaidi
5. Kutokula chakula cha kutosha
6. Kuchelewa kujitibu maambukizi madogomadogo
7. Kutumia visivyo dawa za maumivu
8. Utumiaji wa madawa kwa ajili ya Insulin
9. Kunywa pombe kupita kiasi
10. Kutopata muda wa kutosha kupumzika
Tafadhari share makala hii kwa watu wengi zaidi ili nao wapate kujifunza na kisha kujinusuru na tatizo hili.
whatsapp 0622925000
Tuesday, 19 April 2016
JINSI YA KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA KIRUTUBISHO KILICHOTOKANA NA NYANYA
Ni mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusiana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume chanzo chake pamoja na mambo ya kufanya ili kulimaliza tatizo hilo.
Katika makala zilizopita niliongelea baadhi ya mambo yanayoweza kuchangia kuwa na tatizo hilo. Tembelea www.shinyangabusiness. blogspot.com ili kuyajua mambo hayo ambayo ni pamoja na ulevi, utumiaji wa dawa za kusisimua nguvu za kiume (vega) na upigaji sugu wa punyeto.
Sasa tuone jinsi kirutubisho kilichotengenezwa kutokana na nyanya aina ya Lycopene ambazo hulimwa nchini Thailand kinavyoweza kuwa msaada katika kutibu tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume kwa muda mfupi (mwezi mmoja hadi mitatu).
Kirutubisho hiki ni aina ya nyanya zilimwazo nchini Thailand ambacho baada ya utafiti wa muda mrefu imedhihirika kuwa kina uwezo mkubwa wa kuboresha uzalishwaji wa mbegu za kiume hivyo kuweza kuwasaidia hata wanaume wenye matatizo ya uzazi au kutozalisha.
Kwa kitendo hicho ina maana kirutubisho hiki kinaimarisha misuli ya uume iliyolegea kutokana na upigaji wa punyeto ambapo ndiyo chanzo kikubwa cha wanaume wengi kuwahi kumaliza (kupizi mapema chini ya dakika 3) wakati wa tendo la ndoa.
Mmea huu wa nyanya sasa umeboreshwa zaidi na unapatikana katika mfumo wa vidonge (capsules) na unaweza kujipatia popote ulipo Tanzania. Maana kama ungebaki katika mfumo wa nyanya ingekuwa ngumu kusafirisha aina hiyo ya nyanya kutoka Thailand hadi barani kwetu Afrika.
Mbali na kusaidia katika masuala ya uzazi, vidonge hivi husaidia pia matatizo mengine kama Presha ya kupanda, kansa ya matiti, macho, vidonda vya tumbo, matatizo ya moyo na Asthma.
Kwa wanaume inashauriwa kutumia kirutubisho hiki angalau mara 2 hadi 3 kwa mwaka ili kujikinga na kansa ya TEZI DUME.
Matumizi yake unameza kidonge kimoja asubuhi na jioni pia kimoja.
Waweza jipatia vidonge hivi visivyo na kemikali katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tanga, Morogoro, Mbeya, Zanzibar na Dar as salaam. Mikoa mingine mnaweza kutumiwa kupitia ofisi za Mabasi
Mawasiliano
0622925000(whatsapp)
0767925000
0784925000
Monday, 11 April 2016
MATIBABU YA MIFUPA, KIUNO, MGONGO NA MACHO YALIYOATHIRIWA NA KISUKARI
KAMA UNA MATATIZO YA MIFUPA, KIUNO, MGONGO, MATATIZO YA MACHO YALIYOATHIRIKA KUTOKANA NA KISUKARI BASI TIBA HII HAPA
Shark cartilage is a dietary supplement made from the dried and powdered cartilage of a shark; that is, from the tough material that composes a shark's skeleton.
Shark cartilage (tough elastic tissue that provides support, much as bone does) used for medicine comes primarily from sharks caught in the Pacific Ocean. Several types of extracts are made from shark cartilage including squalamine lactate, AE-941, and U-995.
Shark cartilage is most famously used for cancer, including a type of cancer called Kaposi’s sarcoma, that is more common in people with HIV infection. Shark cartilage is also used for arthritis, psoriasis, wound healing, damage to the retina of the eye due to diabetes, and inflammation of the intestine (enteritis).
Some people apply shark cartilage directly to the skin for arthritis and psoriasis.
FOR MORE DETAILS PLEASE CALL US ON 0767925000 OR WHATSAPP 0622925000.
TUTAKUTUMIA POPOTE ULIPO...!
Friday, 8 April 2016
ANGALIA VYAKULA HIVI VINAVYOIMARISHA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAUME
VYAKULA HIVI VI 4 VITAKUSAIDIA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME.
Kichocheo cha testosterone au kwa Kiswahili , japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume.
.KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA, KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI.
NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE?
Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3, vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhiwakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wetu tunakosa vitamini D kwa sababu muda mwingi tunautumia tukiwa ndani tukiendelea na shughuli zetu. Zinc ni madini muhimu ambayo hupatikana kwenye baadhi ya vyakula.
NINI HASA KINASABABISHA KUPUNGUA KWA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE KWENYE DAMU
Mawazo au stress ni muuaji asili wa kichocheo cha testerone, pale unapokuwa na stress basi Tezi ya Adrenal hutengeneza kichocheo iitwayo Cortisol ambayo inapoenda kwenye damu hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha kiume cha testosterone ndani ya mwili. Hivyo kama unataka kuepusha tatizo hili ni wazi kwamba unahitaji kupuza stress na kiwango cha cortisol.
AINA ZA VYAKULA AMBAVYO HUSAIDIA KUONGEZA UZALISHAJI WA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
Ijapokuwa kuna njia nyingi za kusaidia kuongeza kiwango cha kichocheo cha kiume au Testosterone, uzalishaji wa kichocheo hii unategemea zaidi upatikanaji wa viini lishe fulani ambavyo vinapatikana ndani ya vyakula tunavyotumia.
1. KOMAMANGA (POMEGRANATE)
Tunda hili zuri lenye rangi nyekundu likiwa limeiva limekuwa likitumika kama dawa kwa karne nyingi sasa. Kutokana na uwezo wake mkubwa kama kiondoa sumu (antioxidant), pia upatikanaji wa vitamini A,C, E na madini ya chuma, tafiti za kisayansi zinasema kuwa unywaji wa glass 1 ya juisi kwa siku itokanayo na matunda haya inaongeza kwa asilimia 16 mpaka 30 ya hamasa ya tendo la ndoa. Lakini pia inashauriwa zaidi kula tunda lenyewe ili kwanza kufaidi nyuzinyuzi (fiber) ambazo zina umuhimu kiafya pia itakusaidia kutokula kiwango kikubwa cha sukari kilichopo kwenye matunda.
2. MAFUTA YA MIZEITUNI
Mafuta ya mizeituni yana uwezo mkubwa sana wa kuongeza kiwango cha kichocheo cha Testesterone kinachozalishwa na mwili. Tafiti zinasema watu wanaotumia mafuta ya mizeituni kila siku,kiwango cha testosterone huongezeka kwa asilimia 17 mpaka 19 ndani ya week.
3. NAZI
Mwili unahitaji mafuta mazuri ili kuengeneza kichocheo nyingi, ikiwemo kichocheo cha testosterone. Nazi zinasaidia mwili kutengeneza mafuta mazuri ambayo yanahitajika na mwili, pia mafuta yanayopatikana kwenye nazi husaidia mwili kuwa na uzito mzuri na pia kupunguza mafuta mabaya yasiyohitajika na mwili na hivyo utagundua kuwa kurekebishwa kwa uzito wa mwili basi kunasaidia uzalishaji wa kichocheo cha kiume na utakubaliana nami kuwa uzito mkubwa ni chanzo cha tatzo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa kichocheo cha kiume.
4. MBOGA ZA MAJANI
Mboga za broccoli na cauliflower zinasaidia mwili wa binadamu kutoa kiwango cha kichocheo cha estrogen kilichozidi ndani ya mwili na hivyo kuongeza kiwango cha testosterone ndani ya seli
5. PROTINI ITOKANAYO NA MAZIWA
Protini hii ambayo hupatikana kwenye sehem ya maji ya maziwa inazuia mwili kutengeneza kias kikukwa cha kichocheo cha cortisol na hivyo kuongeza uzalishwaji na ufanyaji kazi wa wa kichocheo cha Testosterone, hapa ielewele kwamba kichocheo hizi mbili huwa zinapishana moja ikiwa nyingi kwenye damu basi ingine huwepo kwa kias kidogo kwenye damu.
DALILI ZIFUATAZO ZINAONESHA KWAMBA UNA UPUNGUFU WA KIWANGO CHA TESTOSTERONE
• Mwili kukosa nguvu mara kwa mara
• Upungufu wa nguvu za kiume
• Kupungua kwa hamasa ya tendo la ndoa
• Kuongezeka uzito kupita kiasi
• Shinikizo la damu kupanda
• Kupungua kwa uwezo wa misuli kufanya kazi
NJIA ZIFUATAZO ZITASAIDIA KUONGEZA KIWANGO CHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
1. MAZOEZI YA MWILI
Kupunguza uzito usiohitajika na mwili ni njia mojawapo asilia ya kuongeza kiwango cha kichocheo cha kiume.
2. PUNGUZA KIWANGO CHA MSONGO WA MAWAZO
Mwili Unapokuwa na msongo wa mawazo basi hupelekea uzalishaji kwa wingi wa homoni iitwayo cortsol ili kupamban na hali hiyo, lakini uoande wa pili ni kwamba kiwango kikubwa cha cortsol kwenye damu hupelekea ufanyaji kazi ya homoni ya kiume yaani testosterone kupungua
3. PUNGUZA MATUMIZI MAKUBWA YA VYAKULA VYENYE SUKARI NA WANGA
Matumizi makubwa ya vyakula vyenye wanga na sukari hupelekea mwili kutengezeza kiwango kikubwa cha homoni ya insuini ili kubadilisha kiwango hcho cha sukari na kukihifadhi kama mafuta, hivo mpenzi msomaji tambua kwamba kadiri unakula wanga na sukari nyingi ndipo kias kikubwa cha insulini kinavomwagwa kwenye damu na ndivyo ufanini na utolewaji wa homoni ya kiume unavopungua.
TEZI DUME NI NINI?? Na UHUSIANO ULIOPO KATI YA TEZI DUME NA UZALISHAJI WA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
TEZI DUME NI NINI
Hii ni tezi (kokwa) ambayo inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa ni kutengeneza maji maji ya uzazi kwa mwanaume(shahawa) ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizotengenezwa kutoka kwenye korodani na husaidia kusafirisha mbegu za kiume na kuzifanya zibaki hai kwa muda unaostahili. Kikawaida wanawake wana kiwango kidogo sana cha kichocheo cha testosterone kwa maisha yao yote
Tezi hii huwa inaongezeka uzito au ukubwa kadri umri wako unavyozidi kukua. Na nimekwambia kuwa tezi hii ipo katika shingo ya kibofu cha mkojo na hivyo basi ukuaji wake unaweza kuathiri mfumo mzima wa utoaji mkojo kwenye kibofu(Incomplete bladder emptying) .
Tafiti zinaonesha kwamba tezi huanza kuongezeka uzito kuanzia miaka 25, na huendelea kukua kila siku kadri umri unavyo enda. Kuongezeka kwa uzito wa tezi yako ya kiume sio tatizo kimatibabu kwani kipimo cha kuonesha moja kwa moja umefikia hatua sio nzuri ni pale unapoanza kupata dalili zenye kuzuia mkojo kutotoka vizuri (obstructive symptoms). Hivyo uzuri ni kwamba kuanzia pale tezi inapokuwa inaongezeka ukubwa hadi kufikia kuonesha dalili mbaya ni hadi unapofikia angalau umri wa miaka 60 na kuendelea , pia inaweza hata ikatokea hata unapokuwa una umri chini ya miaka 50 inategemea na mwili wako kibaolojia. Basi kukua huku kwa tezi bila sababu ya msingi tunaweza tukawa na hitimisho la magonjwa makuu mawili au matatu,Kwanza Benign Prostate Hypertrophy (BPH) aka Kukua kwa tezi dume, pili Prostate cancer Hii ni kansa ya tezi dume na Tatu Uvimbe kwenye kibofu cha mkojo.
Tafiti zinasema kwamba tatzo la Tezi dume linaweza kuziwa kutokea kwa njia za nje, yaani namnisha kwa kutumia ama kula vyakula fulani fulani, kiwango kikubwa cha kiini lishe kiitwacho lycopene husaidia kuondoa uwezekano wa mtu kuugua tezi dume. Lycopene hupatina akwenye matunda yanya. Hapa mpenzi msomaji unaweza kujiuliza kama tunatumia nyanya kila siku kwenye mboga je iweje tuugue tatizo la tezi dume?? Jibu ni kwamba kiasi kidogo sana cha lycopene hufonzwa na mwili kutoka kwenye matunda ya nyanya tunayokula hivo inahitaji ule mamia ya nyanya kila siku ili kufidia hilo gepu.
LAKINI KAMA TAYARI UMESHAPATA TATZO LA KUKUA KWA TEZI DUME BASI TUMEFANIKIWA KUTENGENEZA KIRUTUBISHO KUTOKANA NA NYANYA, kitasaidia kupenya ndani ya tezi dume, kuua bacteria na pia kukarabati sehem zilizoathiriwa na bacteria na hivyo kuzuia kutokea kwa saratani ya tezi dume.
Kirutubisho hiki kina vidonge 30 na unatumia vidonge viwili mara mbili kwa siku. Kwa maoni ushauri na tiba tunapatikana whatsapp/text no 0622925000
Usisahau kushare makala hii kwa ndugu marafiki na jamaa zako.
Masha Masanja
Thursday, 31 March 2016
JINSI YA KUTAMBUA KAMA UZITO WAKO UNAENDANA NA UREFU WA MWILI WAKO
By: Masha Masanja
Call/txt/whatsapp 0622925000
Email: mashamasanja@gmail.com
Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa kutojua miili yetu kama ipo sawa, hii ni kutokana na kile kitendo pengine cha kutougua hutufanya tujisahau kabisa katika kujua undani wa Afya yetu.
Leo napenda tujifunze namna ya kujua jinsi gani utatambua kuwa UZITO WAKO UNAENDANA NA UREFU WA MWILI WAKO(BODY MASS INDEX kwa kifupi BMI)
Kwa kifupi kitendo hiki huhusisha vitu viwili ambavyo ni uzito wako katika kilogram(kg) pamoja na urefu wako katika mita(m). Tutajifunza kwa kutumia mfano.
Uhusiano huo upo katika mpangilio kama ifuatavyo:
BMI ikiwa chini ya 18.50 hapa inakuwa mtu huyu uzito wake upo chini kuliko kawaida(UNDER WEIGHT)
BMI kuanzia 18.50 hadi 24.99 huyu mtu ni mwenye Afya njema na yuko vizuri kabisa(HEALTHY)
BMI kuanzia 25.00 hadi 29.99 huyu ni mtu ambaye amezidi uzito(OVER WEIGHT) hivyo uzito wake na urefu wake haviendani kabisa.
BMI kuanzia 30.00 na kuendelea basi huyu mtu ni yule aliyepitiliza kabisa kiwango cha uzito na anaingia katika kundi la Obesity.
Sasa unapata vipi uhusiano wa uzito na urefu wako(BMI)?
Angalia hapa chini
Kanuni(BMI)=uzito ÷ (urefu)kipeo cha pili
Tuangalie mfano mimi Masha nina uzito wa kg 64 na urefu wa sentimeta 162 ambao ni sawa na mita 1.62
BMI ya Masha=64/1.62×1.62
BMI=64/2.6244
BMI=24.386
Kwa mfano huo basi Masha yupo kwenye kundi salama japo bado kidogo tu afikie 25 ambapo siyo pazuri.
Sasa tufanye ya kwamba Masha ana uzito wa kilo 74 na urefu uleule
BMI= 74/2.6244
BMI=28.196
Hapa anakuwa OVER WEIGHT
Na endapo Masha ana uzito wa kg 91;
BMI=91/2.6244
BMI=34.6745
Hapa ni OBESITY!!
Ndugu msomaji wa makala hii nadhani sasa umeshafahamu namna ya kujua kama una uzito unaoendana na urefu wako, hivyo unaweza kujifanyia tathimini wewe mwenyewe.
NOTE: UREFU WAKO UWE KATIKA KIPIMO CHA MITA(METRE).
Unaweza ku-share zaidi makala hii kwa watu wengi kadri uwezavyo ili nao waweze kujifunza kama ulivyojifunza wewe.
Pia huwa ninatoa ushauri na mafunzo maalumu jinsi ya kupunguza uzito/kitambi na nyamazembe kwa kutumia chakula tu, chakula hicho kitaubadili mwili uwe mashine ya kuunguza mafuta.
Wednesday, 30 March 2016
Hebu angalia faida 50 za kufanya mazoezi ya viungo ndani ya mwili wako
Umuhimu wa mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu.
Moja ya mahitaji matano (5) mhimu ili kuishi baada ya oksijeni, maji, chumvi, na potasiamu; ni Mazoezi. Mazoezi ni muhimu kwa ajili ya afya zaidi ya kuwa na maumbile ya kuvutia (sex body), burudani au kitu kingine chochote.
Watu wengi hufuatilia kuhusu chakula tu, hata kama utakula vizuri vipi bila mazoezi mlo haujakamilika, kwa hiyo mazoezi ni mhimu kwa yeyote kama ilivyo kwa maji au chakula.
Hizi ndizo faida 50 za mazoezi
Zifuatazo ni moja ya sababu 50 mhimu za kufanya mazoezi kwa afya bora na maisha marefu bila maumivu:
1. Hukufanya ujisikie vizuri
2. Huongeza uwezo wa kujifunza
3. Hujenga uwezo wa kujistahi
4. Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi
5. Huuweka mwili wako kuwa unaofaa (fit) na wenye uwezo
6. Huongeza afya ya akili yako
7. Huongeza kinga ya mwili
8. Hupunguza mfadhaiko/stress
9. Hukufanya ujisikie vizuri/mwenye furaha
10. Hukufanya usizeeke mapema
11. Huweka ngozi yenye mng’aro na yenye afya
12. Husaidia kupata usingizi mtulivu
13. Husaidia kuzuia ugonjwa wa kiharusi/strokes
14. Huongeza ufanisi katika makutano/joints za mwili
15. Huongeza nguvu za mishipa
16. Huondoa wasiwasi
17. Huongeza kumbukumbu
18. Husaidia kudhibiti ulevi/uteja
19. Huongeza uzalishaji
20. Huongeza uwezo wa ubunifu
21. Hupendezesha muonekano wa mwili
22. Huongeza uwezo wa kujiamini
23. Husaidia kuongeza nguvu juu ya malengo yako maishani
24. Huondoa tatizo la kukinaishwa na chakula
25. Huongeza miaka ya kuishi
26. Hukomaza mifupa
27. Huongeza afya ya moyo
28. Huongeza hali ya kuwa na msimamo
29. Huondoa homa ndogo ndogo mwilini
30. Huongeza hamu ya kula
31. Hudhibiti usawa wa lehemu/kolesteroli
32. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi ya kansa
33. Hushusha shinikizo la juu la damu/BP
34. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari
35. Huzuia kupatwa na ukichaa/uwendawazimu
36. Hupunguza au huzuia maumivu ya mgongo
37. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa mifupa
38. Hupunguza hisia/fikra za kujisikia vibaya au kupiga punyeto kwa vijana
39. Huzuia kupotea kwa mishipa
40. Huongeza nguvu na ustahimilivu
41. Huongeza ufanisi katika michezo
42. Huongeza uwezo wa kuvumilia maumivu
43. Huongeza usawa na ushirikiano wa mwili
44. Huongeza usambazaji wa oksijeni katika seli za mwili
45. Huongeza hali ya ufuatiliaji/concentration
46. Huongeza uwezo wa kujitawala na kujidhibiti nafsi
47. Huondoa uchovu
48. Huongeza nguvu katika tendo la ndoa
49. Hufanya maisha kuwa yenye kuvutia zaidi
50. Huongeza ubora wa maisha
Mazoezi yafuatayo ni mazuri sababu ya thamani yake ya baadaye na hayasababishi maumivu kwenye maungio, nayo ni; kutembea kwa miguu, kuogelea, kuendesha baiskeli, kucheza tenisi, gofu, kukwea, kuruka kamba, kudansi na kadhalika.
Tafadhari share makala hii ili na wengine wajifunze kama wewe
Naitwa Masha Masanja, mshauri wa Afya. Pia ninatoa program maalumu kwa mtu anayehitaji kupungua uzito/kitambi au nyamazembe.
Mawasiliano:
0622925000 - whatsapp
0767925000
0784925000









.jpg)
.jpg)
.jpg)
