Hiki kimekuwa kilio cha wanawake wengi na kimesababisha wengi kukubaliana na hali hiyo na kubakia kuwa wahanga wa maumivu hayo.
Zipo sababu nyingi zinazochangia uwepo wa tatizo hili ikiwepo kubwa la kutokuwepo uwiano wa vichocheo (hormones imbalance), kuwepo kwa magonjwa mbalimbali kama endometriasis ambapo ni tatizo la seli za ndani ya mfuko wa kizazi kujitokeza nje ya kizazi, adenomyosis ambapo ni hali ya mwanamke kuota Uvimbe katika mfuko wa kizazi, magonjwa ya zinaa yanayotokana na bacteria, mlango wa uzazi unapokuwa mdogo kiasi kwamba unazuia damu kutoka kwa urahisi.
Hizo ndizo baadhi ya sababu za maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi.
Hizo ndizo baadhi ya sababu za maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi.
Mara nyingi wanawake wengi hutumia dawa za kutuliza maumivu kama Ibuprofen, Naproxen au aina nyinginezo zisizokuwa na Steroids (NSAIDS).
Madakatari baadhi huwashauri wanawake kutumia vidonge vya kuzuia mimba ili kukata maumivu hayo. Lakini tatizo kubwa ni kwamba njia hizo humaliza maumivu ndani ya kipindi hicho tu, yaani mwezi utakaofuata maumivu yapo palepale na itakulazimu kuzitumia tena hizo njia. Kwa kifupi siyo njia za kudumu katika kumaliza maumivu hayo.
Kuna dawa maalumu ya kamaliza tatizo hili pamoja na ped zake maalum. Ped hizo zimewekwa ANIONS CHIP ambayo ni dawa maalumu inayokusaidia kumaliza maumivu hayo, kusawazisha viwango vya homoni, ni kinga na tiba ya ugonjwa wa UTI, miwasho na fangasi sehemu za siri, pia zina uwezo mkubwa wa kufyonza damu hadi 250mls wakati wa hedhi na mengine mengi.
Dawa hizi pia husawazisha mzunguko wa hedhi kwa wanawake wenye tatizo la mzunguko usioeleweka na husaidia sana mambo ya uzazi. Dawa zipo katika mfumo wa vidonge na hazina madhara yoyote kwani zimetengezwa kwa mimea pasipo kuongezewa kemikali yoyote.
Wasiliana nasi kwa:
0767925000
0622925000 - whatsapp
No comments:
Post a Comment